duh! inasikitisha na inahuzunisha.nchi imekua nchi ya wachache kufaidi while majority are suffering.wake up my fellows its time for change.in the near future watoto wetu watapata tabu mara mbili ya hapa coz resources zitakua zimekwisha.jmn october tufanye maamuzi sahihi
pole sana kaka.kwa ushauri wangu sioni km ni sahihi kumuacha mkeo kwa kunogewa na penzi jipya.una uhakika gani km huyo mpya uliyempata hatakuja badilika na kuwa tatizo zaidi ya mke wako??.kaa chini na mkeo mpe masharti kuwa km ataendelea kuwa na mahusiano na ex wake ajue ndoa utavunja.na pili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.