Kichwa cha habari chahusika.
-Naomba msaada kwa mtu mwenye uzoefu wa kufunga mahesabu kitaalam,anayejua kutumia accounting packages na kila kinachohusiana na uhasibu kimatendo ( practically)
-Awe anaishi dar
-Mwanafunzi ni mhitimu wa chuo anahitaji kujibrush kuhusu uhasibu kimatendo/kiuhalisia...
Habari wanajukwaa,
Nina mzazi wangu mwenye umri wa 57 y.o anasumbuliwa sana na tatizo la misuli ya miguu kuuma yaan inakaza na kuachia kwa muda mrefu na hali hii humtokea mara nyingi jioni kuanzia saa moja mpka usingizi utakapo mchukua.
Ni hali inayojirudia kila siku mpaka imefikia hatua...
Kuna shule ipo SHINYANGA inaitwa Savannah plains ni nzuri inacheck all the boxes umeweka hapo kasoro moja tu la ADA ,kwao ada ni 3.780.000 per year lakini unaweza kulipa kwa muhula 945k ! For more info check nao wapo instagram savannahplains_tz
You’re welcome
Habari za wakati huu wana jamvi,ninauza kiwanja kigamboni maeneo ya kisarawe 2 chenye ukubwa wa sqm 838,kipo dakika chache kutoka barabara kubwa ya kibada-mwasonga,(dakika 5 kutoka kiwanja cha mpira cha yanga na TFF)
Hakina mgogoro wowote na hakina dalali, nicheki direct 0715002270!
Bei mil 20
Habari za wakati huu wana jamvi,Ninauza kiwanja maeneo ya kigamboni kisarawe 2 chenye ukubwa wa sqm 838 kipo mita chache sana kutoka barabara kubwa (dakika 5 kutoka uwanja wa mpira cha Yanga & TFF)
Hakina mgogoro wote na hakina dalali, nicheki direct 0715002270! Bei ni milioni 20.
Habarini za wakati huu.
Mwenye uelewa wa kwanini wafanyabiashara wengi wakienda kununua bidhaa maduka ya jumla wanapenda kwenye zile risiti za manunuzi zitumike TIN NUMBER ZAO, naomba anielezee kwa Kiswahili chepesi ili nielewe nini maana yake na nini faida zake na pengine ata hasara zake...
Ndugu zangu, habarini za wakati huu
Natumaini mpo salama.
Leo nalileta kwenu wazo langu /mtazamo wangu juu ya kumiliki gari! Dhumuni mojawapo la kununua gari ni kukuwezesha wewe mtumiaji kupata utulivu wa kutafakari ama kujadili jambo lingine linalo kuhusu.
Sasa ukiona umenunua gari na muda...
BEI 11.8 MIL [emoji336]0715002270
SUZUKI SPLASH (DQX)[emoji91][emoji91]
YEAR 2008
Cc 1240 [emoji736][emoji184]
MILEAGE 129,000km
ENGINE K 12 B
FUEL PETROL [emoji618]️
TRANS,AUTOMATIC
NEW TYRES
REVERSE CAMERA
FULL AC🧊[emoji3587][emoji3063]
FULL DOCUMENT [emoji94][emoji94]
HAINA KIPENGELE
GARI NI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.