Recent content by Jacque Jaqueline

  1. Jacque Jaqueline

    JamiiForums Tanzania Nijuzeni kuhusu kodi ya ongezeko la thamani (value addad tax)

    Naomba mnieleweshe kuhusu kodi ya ongezeko la thamani (value added tax) na inavyofanya kazi
  2. Jacque Jaqueline

    JamiiForums Tanzania Usajili wa namba za simu kutumia alama za vidole ni kwa sababu zipi?

    Alama za vidole yaani finger print, usajili wa line unahitaji finger print kama sahihi ya mmiliki wa line kwani kila mtu ana fingerbprint yake isiyofanana na ya yeyote mwingine, na inasaidia hasa inapotokea shida inayohusiana na uhalifu wa kupitia mtandaoni
  3. Jacque Jaqueline

    JamiiForums Tanzania Kijana apata mchumba FACEBOOK na kumuoa ndani ya siku 6

    Kama wakiwa serious na wanachofanya Itadumu sana tuu ila wakileta michezo hahahahah hata wiki haitamaliza
  4. Jacque Jaqueline

    JamiiForums Tanzania Kijana apata mchumba FACEBOOK na kumuoa ndani ya siku 6

    Kama wakiwa serious na wanachofanya Itadumu sana tuu ila wakileta michezo hahahahah hata wiki haitamaliza
Back
Top Bottom