Recent content by Jacque George

  1. J

    GE2010 Zitto akamatwa na polisi

    Tehe tehe...!hapo ndipo.hatuwezi kuibadilisha 1+1=2 kuwa 11.ukweli husimama kivyake siku zote tatizo wa-tz hawapendi kuambiwa ukweli.Dkt Slaa yeye aende mbele>mahakamani >awaambie wahisani>Mwenyezi Mungu.tutajua mwisho wa siku.
  2. J

    GE2010 LISSU, MNYIKA, MDEE, MBOWE. ni sawa na wabunge 200 wa ccm

    Mzee mrema tuna wasiwasi naye anaweza kutuyeyusha akiingia mjengoni.si unajua yule amechanjia kwenye chama chetu kile...! Inategemeana na uchungu alionao kwa taifa la sasa la Tz.
  3. J

    GE2010 Hii ni aibu ndugu zangu...!

    Yaani taifa la Tanzania tunakoelekea siko.matokeo ya uchaguzi yanatumia muda wa wiki moja nzima!hatuna budi kujiuliza ya kwamba kwa nini chaguzi zilizopita zilikuwa zikifanyika kwa muda mfupi tu na matumizi ya kompyuta kwa wakati huo yalikuwa madogo,inakuwaje uchaguzi huu wa 2010 watu wenye...
Back
Top Bottom