Elections 2010 Hii ni aibu ndugu zangu...!

Jacque George

New Member
Nov 4, 2010
3
0
Yaani taifa la Tanzania tunakoelekea siko.matokeo ya uchaguzi yanatumia muda wa wiki moja nzima!hatuna budi kujiuliza ya kwamba kwa nini chaguzi zilizopita zilikuwa zikifanyika kwa muda mfupi tu na matumizi ya kompyuta kwa wakati huo yalikuwa madogo,inakuwaje uchaguzi huu wa 2010 watu wenye elimu zao katika matumizi na kuziganga kompyuta zinapopata maradhi ya kila aina wanashindwa kumaliza kazi kwa wakati? Hivi kuna umuhimu wa kuweka uchaguz wa wabunge wa vyama vingi kama hakuna demokrasia? Kwa uelewa wangu haiwezekani kwamba tathmini za uchaguzi zikaonesha asilimia ndogo za uhuru na uhalali wa zoezi zima la uchaguzi na tume ikayapitisha matokeo ya uchaguzi.Hata wenzetu wahisani wanatushangaa na bado kidogo tu watatuchoka kwa kuendekeza hayo 2nayowakumbatia na kuifanya nchi ni kama ya urithi wao.lazima tukubaliane na tufanyie kazi chanya changamoto zilizopo na si kuendelea na mfumo wa uchaguzi wa kichwa na mwenge!
 
Mar 24, 2009
76
13
NEC wakitoa matokeo mapema, watapata wapi muda wa kuchakachua? They therefore need more time for the job. Dont you understand their mission? Sisi tuwe tunaenda kupiga kura tu kwa kujifurahisha kwamba tuna demokrasia lakini ukweli ni kwamba kuna kikundi cha watu wachache tu wanaotuamulia nani awe mbunge au rais wetu. Shame on Mkwere. I will never appreciate him as my president.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom