Ni kweli kuna database but at least kwenu mwezi wa 12, wa kwanza then wa pili mkajua hatma yenu almost miezi mitatu kamili au kasoro
Sisi mwezi wa 2,3,4 na KESHO tunaanza mwezi wa 5 in which we think it is not normal, kada zingine wanapita mwezi wa 3 wa 2 tuliofanya nao kada tofauti, unaenda...
Sisi wadau tuliofanya usaili kuanzia tarehe 15 mpaka 19 February kupitia utumishi kwa ofisi za OSHA, MSD na TCRA tunaomba utumishi mtoe matokeo yetu kwani inaenda miezi mitatu sasa majibu hakuna
Kada zingine zinapita kama TBC matokeo mmetoa kama mmeyafuta mtuambie, au kama mmetumia njia...
Hata kama sheria zipo na wako sawa vipi kuhusu mahusiano ya kidiplomasia wanafikiria hayo
Kuna wakati maswala yanayohusu nchi mbili kwa afya ya mahusiano inabidi diplomasia itumike, sheria tunaweka pembeni kwanza maana sisi ni majirani Leo kwako kesho kwangu
Hii ya kuchoma moto hadharani...
Mimi huwa nashangaa sana hawa watu wakiwa ccm wanaonekana muhimu na bora sana ila wakitoka tu ndiyo mafile yao ya kuonekana hawafai yanaachiwa wakati walikuwa nao ndani wakiwapigia makofi
Basi kwa tabia hii kwenye hicho chama wote wachafu sana kama hamuamini subiri siku wakitoka mtaona...
Mimi huwa mda mwingine napata shida sana na sisi watanzania, hivi katika yote aliyoongea Mh rais hilo tu ndo umenasa?
Rais siyo malaika kwamba apatie kila kitu ila kama unatakwimu sahihi unaweza mkumbusha kwa lengo la kujenga si kumuomesha kuwa anapotosha tunajenga boma moja ndugu
Rais wetu...
Kamanda huko private co. wengi wamepitia hhao hawana shukrani one mistake one goal still access ya kugrow ni ndogo sana hakuna siku watakwambia chukua likizo kasome zaidi, na kuna siku isiyo na jina wataondoka tu hao ,umesema bado huna majukumu sana na ajira za serikali ukishapangua ndiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.