Jacqo
Member
- Sep 4, 2017
- 7
- 5
Sisi wadau tuliofanya usaili kuanzia tarehe 15 mpaka 19 February kupitia utumishi kwa ofisi za OSHA, MSD na TCRA tunaomba utumishi mtoe matokeo yetu kwani inaenda miezi mitatu sasa majibu hakuna
Kada zingine zinapita kama TBC matokeo mmetoa kama mmeyafuta mtuambie, au kama mmetumia njia nyingine kuita watu bila kutumia portal yenu mtuambie tu
Kada zingine zinapita kama TBC matokeo mmetoa kama mmeyafuta mtuambie, au kama mmetumia njia nyingine kuita watu bila kutumia portal yenu mtuambie tu