Da ebana tatizo ni mfumo mbovu 2lionao ndio unaofanya chadema wawaelimishe watu na si kweli kwamba yanyofanywa na chadema now ni kukuza cha la hasha,bali ni kuwafaya watanzania wajitambue,na ili maendeleo yapatikane ni lazima mifumo mibovu iliyopo hapa kwe2 tanzania ibadilishwe kwa hiyo ni kweli...
Ebana!,kwa hali ya kawaida m2 hawezi kufikiri kama m2 anaweza kusema vyama vya upinzani haviwezi kuongoza nchi,wakati yeye mwenyewe anaongoza jimbo na kama mbunge unatakiwa kutetea maslahi ya taifa na sio jimbo 2,leo hii 2nashindwa kumwelewa ktk akili za kawaida kichwani kwake,kusema upinzani...
Hi sio mtwara 2,itapokelewa kwa shangwe nchi nzima mana hata wakulima,wana vijiji wameanza kutambua kama wananyonywa katika nchi yao ambayo maendeleo ni hafifu ukilinganisha na utajili uliopo,nyie hamjaliona hilo,chunguzeni bana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.