Recent content by jacob bruno

  1. J

    JamiiForums Tanzania WHO yaitaka Afrika kujiandaa na usambazaji wa chanjo ya corona

    Kuna msemo unasemwa hivi,unaweza kuichukia Shari lakini kumbe kunakheri ndani yake na unaweza kuipend kheri lakini kumbe Shari ndani yake. Mambo la muhimu nakujiuliza mpaka sasa tumetumia chanjo gani? Tukipata jibu tutakua hatuna haja na chanjo Yao.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Elimu ya sasa ni bure kabisa

    Kwamfano mtu kajifunza mambo ya ufundi gereji na kakaa huko miaka kumi (10) huyu atakua na ujuzi ambao hauna cheti sasa bado kwa mfumo wa nchi hii tutamtafisili hana elimu, lakini elimu anayo kwa ujuzi alionao isipokua hana cheti tunamwita hana elimu.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Elimu ya sasa ni bure kabisa

    Hivi Elimu nini? nikua na cheti au nikileunacho kijua, unaweza ukowanesha watu cheti chako na watu wakapata tafsili kwamba unayo elimu kulingana na cheti chako kinavyo onekana lakini ukawa hauna uwezo wakuendesha mambo na mtu akawa hana cheti lakini akawa anawaonesha watu uwezo na watu wakapata...
  4. J

    JamiiForums Tanzania WHO yaitaka Afrika kujiandaa na usambazaji wa chanjo ya corona

    Lakini Sasa Mimi Nina mwamini Sana Raisi wetu na sasa hatuna corona.
  5. J

    JamiiForums Tanzania WHO yaitaka Afrika kujiandaa na usambazaji wa chanjo ya corona

    Nikweli , namnukuu Mzee Mugabe alisema mtu pekee ambae unaweza kumuamini kwa hawa watu weupe yani wazungu niyule alie kufa tu.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ubinafsi: Gwajima ndege, helkopta mbili wakati waumini wanakaa nje bila jengo

    Nikweli kila nafsi itasukumiwa inakotaka kwenda kwahiyo gwajima kapenda kitukingine kinachoitwa siasa ndio maana kapata na atalipwa kutokana na hilo alilolipenda.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Nelson Mandela alifia gerezani 1985?

    Hata Mzee Mugabe aliwahi kumkataa Mzee Mandela na kumkubali Mwalimu Nyerere, ni baada ya Mandela kutoka jela na kulegeza kamba kwa wazungu akamuona nimsaliti kwa
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Nelson Mandela alifia gerezani 1985?

    Nikweli nakubaliana na wewe
Back
Top Bottom