Deghe Mangae
Senior Member
- Mar 3, 2020
- 171
- 152
Elimu ya sasa haimuandai mtoto kujiajiri mfumo huu bado ni mbovu.
Kabisa cha kushangaza wapo wasomi wa zamani hili wanalifumbia macho huu.
Ni unafiki mkubwa sana Darasa la 7 la miaka ya 70 ni zuri mno kitaaluma kuliko la miaka ya leo ni weupe mno lakini pia wanafunzi wa enzi hizo mara.
Wamalizapo shule wana uwezo wa kujikimu kimaisha tofauti na miaka ya sasa,sijui tunakwama wapi kila ucheo wimbo ni ajira, Nahisi akili haipo manake Akili ni mabaki ya kile ulichosomea kumbuka baada ya kusoma madigree, maphd nk kile kinachobaki na kukupa ubunifu wa
Mambo mbalimbali kupambana na maisha hicho ndo Akili na sio Elimu.
Hebu tubadilike