Kuna dawa nilikua naletewa kutoka Tanga, ni majani ya mwarobaini yamesagwa na kua unga, unachanganya na asali kisha unakunywa kutwa mara tatu, kwa kutumia kijiko cha chakula, ilitibu pumu yangu.
Hakuna nchi punguani itakayoweka mbinu zake za kivita hadharani, kumbuka yale ni maonesho tu sio uwanja wa vita, hivyo unakuja na vitu vya kuburudisha, kufurahisha na kuelimisha tu wananchi na kuwaongezea maarifa na si kuja na mbinu zooooote wakati sio uwanja wa vita
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.