Mkuu chabruma, wewe ni mkuu wa wilaya nilitegemea mda huu ungekuwa busy ofisini kushughulikia kero za wananchi. Cha kushangaza toka juzi nakuona upo busy jamii forum kuwasema vibaya ukawa, kila kitu ukawa., au kwa vile manispaa yako yote imechukuliwa na ukawa ndo maana una bifu nao. Mwisho...
Mkuu upo sahihi, binafsi sion haja ya dr.slaa kususa na mbaya zaidi kuna kipeperushi kinaitwa RAI kimekuwa mstari wa mbele kuandika habar za dr. as if wana wasiliana., ushauri wangu naomba dr. ajitokeze atoe maelezo kama n kweli kajitoa chadema tujue, .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.