Recent content by jackson james

  1. jackson james

    Mauaji yanayoendelea Kibiti, Pwani: Maoni, Ushauri na Mapendekezo ya nini kifanyike ili kuyatokomeza

    Jeshi la Polisi linajitahidi sana kupambana na hao majambazi Kibiti na sisi kama wananchi tuwasaidie kwa kutoa taarifa zozote zitakazoweza kusaidia kuwabaini na kuwatia nguvuni. Tukisema tuwaachie polisi peke yao haita kua na mantiki yoyote. TUTAWAPATA TU. They will pay!
  2. jackson james

    Uongozi wa CHADEMA KYELA uchunguzwe haraka sana

    mimi ni mwana ccm lakin kwa kesi yyte ile na tuhuma yoyot ile lazma uwe na ushahid
  3. jackson james

    Mbio Za Urais Mwaka Huu

    Eti Ni Kweli Wanajeshi Ndio Watasimamia Uchaguzi Huu?? Unafikiri Ni Sawa!?
  4. jackson james

    Dada Shilole kwa hili hapana..!

    Bora useme
Back
Top Bottom