Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,729
- 239,333
Kitendo cha kushindwa kulipa gharama za kesi ( nyepesi kuliko zote ) ya ubunge ambazo mwanyamaki aliteremshiwa hadi mil 3 kina walakini , ni jambo la aibu , ni la kufedhehesha na limelenga kukatisha tamaa wapambanaji halisi , hizi ni hela ndogo sana ambazo mimi binafsi ningezilipa tena ndani ya nusu saa tangu mahakama iliposhusha gharama , nini kilichotokea mpaka haya yametokea?
Naomba chadema makao makuu ( ambao mnakuwa kimya sana kwenye mambo ya msingi ) fanyeni uchunguzi na tupewe majibu haraka sana kwa manufaa ya wana kyela , kama kuna wasaliti washughulikiwe kama walivyoshughulikiwa wasaliti wengine , tunahangaika kutwa kucha , tena kwa kiwango cha kuhatarisha maisha kwa ajili ya chama , lakini mwishowe yanatokea haya , hii haitakubalika hata kidogo , wahusika watajwe na waburuzwe mahakamani kwa hujuma .