Ni kweli kwamba dini zimechangia Sana katika kukuza tatizo hili. Lakini tukumbuke kuwa hizi dini zililetwa na hao wakoloni wakiwa na lengo lao walilotaka kulitimiza, dini sio mbaya lakini tusiwe walimbukeni wakutumia dini kama kisingizio au kitu Cha kutukandamiza hata maandiko yametuambia kuwa...
Umesema kwel, tusipofanya juhudi ya kutunza asili zetu watoto wetu hawatapata nafasi ya kujua wao Ni akina Nani, chimbuko lao. Na kwahilo itakuwa ngumu kwao kusimama na kuwa imara Kama hata hawajujui wao wametokea wapi.
Nadhani inatubidi tuangalie na majina tunayowapa watu (watoto) na pale tunapojikuta tuna majina yasiyo faa tunaweza kubadili kwa kuapa mahakamani na kutafuta jina zuri la asili lenye maana nzuri.
Jambo kama hili la majina linaweza lisionekane kama Jambo kubwa la kuhitaji kupewa umuhimu lakini siku zote mbuyu huanza kama mchicha. Na tabia yetu sisi watu wa rangi nyeusi ya kudharau mambo madogo ndio hutusababisha kuja kupata maafa makubwa baadae. Ningeweza kukuelezea Ni jinsi gani Jambo...
Sio lazima umuite mwanao Kinjekitile, kuna majina mengi Sana ya kiasili kwenye kabila ulilotokea na yenye maana nzuri Sana. Tafuta jina zuri lenye maana nzuri, ukiwa mtu wa kutamani hivyo utayapata tu majina mazuri.
Nadhan ulichosema ni ukwel, yakwamba taasisi zinazoshughulika na mambo ya tamaduni wanawajibu mkubwa wa kuhakikisha ukuaji wa tamaduni zetu.
Na sisi pia tunawajibu, kwanza wa kufungua fikra na kuwa tayari kupenda vya kwetu na kuvionea fahari, hasa majina yetu.
Ushawahi kuchukua muda na kutathmini utofauti wa majina mengi ya Sasa na kipindi cha nyuma? Au unaona kila kitu Ni sawa?
Wengi wetu tumekuwa tukilalamika kuwa tamaduni zetu zimekuwa zikiharibiwa na wazungu na tamaduni za kigeni, lakini wakati mwingine tumekuwa tukichangia wenyewe katika...
NNime
Nimesoma comments lakin naona wengi wanongea kwa kijifurahisha ila nimeelewa unachokizungumza. Watu wanachukulia Ni masihara ila kuzaa bila mpangilia ni shida kwa nchi hasahasa Kama hutaweza kuwahudumia. Unakuta unazaa watoto watano au saba na hauna uwezo wa kuwahudumia, watoto wanalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.