Achana na ubadhilifu. Kipindi unaangaika tutafuta chumba. Majumba mangapi ulipita wanakwambia chumba hakipo. Baati nzuri ukakipata kwa mwanamke je? Kwanini usimlipe pesa zake. Na ukiangalia vijana wanakosa vyumba vya kupanga kwa tatizo hilo jitaidi uondoe sifa mbaya kwa vijana wote.
Mmhh. Me ni mtu mzima ninaye jielewa. Nina miaka 23 napenda sana matani, jokes, matusi ya kumanisha sitaki. Napenda sana kuwa marafiki wanao jieshimu. Napenda sana kuwa na mchumba ndo ndoto yangu aswa. Fest of All(ushirikiano, ushauri, nk ni muimu sana kwenye maisha yetu)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.