Recent content by Jackcheina

  1. J

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Jaribu kunifungulia code ya Mr freedom mzee hapo inakuja inakata. Who is he? Tumia code nyepes kunlock hii Ili twende sawa
  2. J

    JamiiForums Tanzania Miaka Miwili ya giza, uchawa, unafiki na mateso kwa Watanzania

    Kabisa yani watu wamefumbwa macho ni vipofu zaidi ya Bartimayo
  3. J

    JamiiForums Tanzania DPP na Mwanasheria Mkuu wa Serikali wawaondoe Mawakili wote waliohusika na plea-bargaining, wataingilia uchunguzi!

    Cha ajabu yule bwana mswahili swahili na mlezi wa masnake snake na jopo lake lote wataonekana wasafi sana kuliko yule kipenzi cha wananzengo! Wakati wanatesa Kwa zamu wananzengo wanateseka Kwa zamu!! And this is Nyerere land
  4. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nyuma kidogo pesa za plea bargaining nyingine uki-trace uliambiwa kuna akaunti China

    Politics as usual. But tutafika tu
  5. J

    JamiiForums Tanzania Naona uzinduzi wa JNHPP, Wajane wa Marais wamewakilishwa na watoto

    Hata hao Wengin Hata hao wengine watakufa na hawatafufuka
  6. J

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alivyoifilisi familia ya Jamal Malinzi

    Nauona mtifuano kati ya Born town followers na Ngosha followers!! Sisi tulio neutral sijui tufanyeje sasa
  7. J

    JamiiForums Tanzania Musukuma: Magufuli alikuwa rafiki yangu lakini alishaniweka ndani mara saba kwa sababu ya kuhoji tu utendaji wake!

    Kwani zero brain yenyewe ipo? Na kama ipo ni nini?
  8. J

    JamiiForums Tanzania CCM na wanaccm, nini kosa la Bashiru? Demokrasia kwenu ni nongwa?

    Wengi wanaomkosoa Bashiru hawakosoi kwa hoja zaid ya personal attack, hawasemi kosa lake ni nini!
  9. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru usiturudishe kwenye ‘Tanzania ya giza’

    Unamaanisha kuturudisha nyuma kupi? Au kule ambako hakukuwa na mgao wa umeme? Kule ambako maji kwa watanzania haikuwa anasa? Kule ambako Miundombinu ilijengwa Kwa faida ya watz na wewe ukiwemo? Au unamaanisha nyuma ipi mkuu?
  10. J

    JamiiForums Tanzania Bashiru akerwa na kauli ya 'anaupiga mwingi' na wanaosifu utawala wa Samia

    Anayeona huu utawala ni mzuri ni either ananufaika nao au ana upungufu wa akili au ni kaunafiki tu kamemuingia. Maana Karne hii umeme kuwa kama anasa ni uzandiki,. Huduma mhuimu kama maji kukosekana. Kupanda kwa bei ya vitu maradufu ya ilivokuwa enzi za JPM. Kusimamia Kwa miradi mikubwa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Tunataka Maji Yatoke

    Hii nchi ishakuwa ya hovyo asee
  12. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hatupo tena uchumi wa kati tumeshushwa na hadi 2025 tutapambana turejee

    Haikuwa ajabu kwa sisi kuporomoka, Sababu mbona iko wazi tu, hata Wewe mwenyewe unaijua...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nasimama na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

    Together we stand
Back
Top Bottom