Recent content by Jackcharty

  1. Jackcharty

    Wanaojua Kiingereza tu: Karibuni tuchati kwa Kiingereza

    This challenge of talking English is hard 😁
  2. Jackcharty

    Uliwezaje kutatua tatizo la mchanga ukeni na mwenza wako?

    Kama anakupenda ana nia atakusikiliza
  3. Jackcharty

    JAMVI LA WANAWAKE: Nini kinakufanya upoteze hamu au msisimko wa kukutana na mweza wako kimwili?

    Point ya tatu ya kukosa mapenzi nje ya chumbani aisee hii inakata sana ,na nikionaga hivo tu najua ni red flag nakimbia mana hapo sipendwi natumiwa..
  4. Jackcharty

    Uliwezaje kutatua tatizo la mchanga ukeni na mwenza wako?

    Kama umempenda kweli kama unavosema mwambie kiupole na kiustaraabu then muende hospital akatibiwe
  5. Jackcharty

    Dalili zipi uliziona ukajua uhusiano wenu umefikia mwishoni?

    Unatuma meseji asubuhi inajibiwa usiku saa mbili pamoja na kuagwa usiku mwema,ukipiga simu utasikia Subiri ntakupigia ndo hadi kesho hiyo tena nimtafute Mimi,,Ila akitaka mambo yake natafutwa vizuri kuanzia asubuh na maneno matam nikimpa mzigo nakua tena ghosted!!aisee niliteseka sana mahusiano...
  6. Jackcharty

    Kuna madhara yoyote kukaa single muda mrefu?

    Inawezekana mimi nimewahi kukaa mwaka mzima ila sio kwamba niliamua tu nilipigwa tukio zito 😀tatizo litakuja ukiamua kuja kwenye mahusiano Tena utaona kama kila mtu anakudanganya tu unaweza jikuta unarudi tena kuna single 😅
  7. Jackcharty

    Uzi maalum: Share chochote kuhusu hobbies

    Acha tu yaanii,,saivi nimeona ya tatu ipo
  8. Jackcharty

    Uzi maalum: Share chochote kuhusu hobbies

    Yeah nilikua napenda kuandika tangu nasoma aiseee hizo diaries zangu za shule ya msingi na sec ninazo japo zimechakaa😅😅!!kuchora its a good hobbie ivi unaweza kujifunza kuchora kama mtu hujui??
  9. Jackcharty

    Uzi maalum: Share chochote kuhusu hobbies

    Kiufupi my hobbies are kula,kukaa peke yangu,singing,writing Nina Kama diary nne hivi zimejaa 😀,,kupika,movies hasa horror movies na action and reading books!!!
  10. Jackcharty

    Natafta malkia wa ngome yangu

    Ila watu humu JF unaweza ulie na majibu 😀,,well kaka utapata usijali good luck on your search 😊
Back
Top Bottom