Nani ajui lolote? Mambo ya odometer yote ni yakukoteza tu lengo nikuchafua watu fulani ili watu fulani wafanye kazi ukiombwa ushahidi makampuni ya wazawa wakishu hizo km utweza kuuleta hapa je hawa Be forward na SBT unaukikagani kama awashushi hizo km?
Hapa sijaona kampuni yoyote ya wabongo zaidi ya porojo makampuni yote Dunia yana majina sijaona jina hata moja la kampuni inayoshutimiwa kufanya utapeli, mleta mada ametumwa na Be forward na SBT kuchafua makampun ya wazawa kwaujila kidogo nanyie mnaingia kwenye mtego na kukandamiza nduguzenu...
Mkuu umechambua vizuri sana tatizo uelewa wa mswahili zero umepoteza muda wako mswahili hataki kujifunza kitu kipya ndio maana wanatapeliwa SBT na Beforward ni makampuni ya Wahindi na wapakistani sio Wajapan ndio maana wanauza magari mabovu miezi mitatu gari chalii alafu mswahili anajiona...
Wana nzengo sidhani kama wanataka platform za dizani hii ,mswahili ni mtu moja wa ajabu sana anataka platform kama instagram Facebook watapeliane wee hadi akili zisogee.
kinachonikera nchi hii wajinga ni wengi sana badala ya kupungua wanaongeza kila kukicha, project kama bongo sijui kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.