Recent content by Jack Daniel's

  1. Jack Daniel's

    Je Bikra ina umuhimu katika kuboresha mapenzi na je Bikra inazuia wanaume kuchepuka?

    Haha hah kusema kweli sikujua kama hazionekani.....ila zipo nyingi tu, nadhani JF walivyobadilisha/boresha mtandao wao ndipo hitilafu hiyo ilipotokea....
  2. Jack Daniel's

    Je Bikra ina umuhimu katika kuboresha mapenzi na je Bikra inazuia wanaume kuchepuka?

    Nipe nikutolee....mimi ni mtu wa kueleweka...you can trust me
  3. Jack Daniel's

    Jenerali Ulimwengu: Tuamue kati ya sasa na October 1 ikiwa tunahitaji udikteta ama la...

    Democratic leadership requires more than than just giving orders, it requires listening to opposing voices even if you don't agree with them.... Obviously freedom of speech, press, assembly and expression are fundamental freedoms essential for a functioning democracy.... It is almost...
  4. Jack Daniel's

    Je, tunahitaji kufundisha shule za msingi na sekondari hizi Slave Trade na Colonialism?

    Sio kweli kwamba nimemuona mleta mada kama mkorofi kwa kutetea hoja yake...mleta mada hajapendendezwa na idadi ya wachangiaji wengi waliotoa maoni tofauti na yeye, kitu kilichomfanya awashambulie wote wenye mawazo kinzani....pengine alitegemea wengi wangekubaliana na mawazo yake! ila hayo ni...
  5. Jack Daniel's

    Je, tunahitaji kufundisha shule za msingi na sekondari hizi Slave Trade na Colonialism?

    Hapo kwenye: NYEKUNDU: Kwa sababu hawataki kufundisha watoto wao uovu walioufanya katika bara hili kwa miongo mingi.... BLUU: Hata sisi watanzania tunajua umuhimu wa historia, mila na tamaduni zetu..ndio maana tunasoma ya kale, ya sasa na yajayo.... KIJANI: Unaweza kujua kwa undani kuhusu...
  6. Jack Daniel's

    Je, tunahitaji kufundisha shule za msingi na sekondari hizi Slave Trade na Colonialism?

    Mtu akiwa na wazo tofauti na lako haimaanishi kuwa ana uwezo mdogo wa kuelewa au kufikiri... Kama unaona hueleweki na wengi basi unatakiwa kutoa elimu na kujibu hoja maana lengo la mjadala ni kujenga.... Kitendo cha watu kujibu hoja yako moja na sio zote mbili haimaanishi moja kwa moja kuwa...
  7. Jack Daniel's

    Kudhibiti ongezeko la kasi la idadi ya watu Tanzania

    Nakubaliana na wewe, kwa mfano working population (miaka 15-64) ni sawa na asilimia 52% ya idadi yetu, walio chini ya miaka 15 ni sawa na asilimia 44.8%, wakati walio na miaka zaidi ya 64 ni asilimia 3.1% tu...... Watu milioni 28 ndio wenye umri wa kufanya kazi (15-64). Vijana (15-34) ni watu...
  8. Jack Daniel's

    Kudhibiti ongezeko la kasi la idadi ya watu Tanzania

    Mkuu, kwa mfano sasa hivi (2016) tupo watu milioni 54 tukikua kwa asilimia 3% kila mwaka ina maana ifikapo mwaka 2020 tukatuwa na idadi ya watu zaidi ya milioni 62...ambayo ni sawa na ongezeko la watu milioni 8 ndani ya miaka minne tu... Kwakuwa tuna tatizo, serikali inashindwa kuhudumia watu...
  9. Jack Daniel's

    Kudhibiti ongezeko la kasi la idadi ya watu Tanzania

    Bunge lashauri wananchi kupunguza kuzaa (tazama mstari wa chini)....hiyo ni habari ya leo
  10. Jack Daniel's

    Kudhibiti ongezeko la kasi la idadi ya watu Tanzania

    Hah hah hah mkuu mbona wengine wanazaa hadi 16, hasa vijijini.....
  11. Jack Daniel's

    Kudhibiti ongezeko la kasi la idadi ya watu Tanzania

    Leo peke yake zimetolewa wastani wa mimba 1,109 nchi nzima na kuna baadhi kati ya hizo zimesababisha vifo vya mama mtoto peke yake au mtoto peke yake au wote wawili.... Kama unatumia condom au unamwaga nje ni sawa na kuua 'watoto wasio na hatia' maana zile mbegu zimejaa binadamu, kwanini...
  12. Jack Daniel's

    Kudhibiti ongezeko la kasi la idadi ya watu Tanzania

    Hatuwezi kuweka rehani sera zetu za maendeleo kwa kutaka kufanya kile kinachofanywa na wanachama wengine wa EAC... Ili hiyo hali unayozungumzia itokee, Tanzania itahitaji kukua kwa kasi mno kiasi kwamba fursa zinazotengenezwa na ukuaji wake wa uchumi ni nyingi kuliko idadi ya watanzania...
  13. Jack Daniel's

    Kudhibiti ongezeko la kasi la idadi ya watu Tanzania

    Kuweza kutumia rasilimali tulizonazo kunategemea kama tuna uwezo huo. Kwa mfano mtu anaposema hatujazitumia rasilimali tulizonazo kuweza kujipatia huduma nzuri, huwa anasahau kwamba nchi haina fedha wala teknologia ya kugeuza hizo rasilimali kuwa maendeleo ya kiuchumi.......bali inategemea...
  14. Jack Daniel's

    Kudhibiti ongezeko la kasi la idadi ya watu Tanzania

    Vipi kuhusu vifo vinavyotokea wakati wa kutoa mimba? maisha ya mama mtoto pia yana umuhimu, sio busara kukubali wao watumie njia hatarishi kutoa mimba wasizohitaji...... Hatuna ardhi ya kutosha, ingekuwa hivyo wananchi wasingekua wanagombana na kuuana kwa sababu ya ardhi. Kiuchumi, rasilimali...
  15. Jack Daniel's

    Kudhibiti ongezeko la kasi la idadi ya watu Tanzania

    Mkuu, idadi ya watu DSM ni kama milioni 6, ina maana mikoa iliyobaki ina watu milioni 48+... Ili uzalishaji mali utokee kunahitajika vitu kama mtaji, ardhi, rasilimali watu, na ujasiriamali....Elimu inakuza rasilimali watu, lakini serikali inashindwa kutoa elimu kwa wengi kwa sababu wahitaji ni...
Back
Top Bottom