Recent content by jabojabo

  1. J

    JamiiForums Tanzania Usaili NIT

    Mbona post ya Assistant lecturer in entrepreneurship hawajaita watu mimi niliomba post hiyo
  2. J

    JamiiForums Tanzania TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    Hata mbeya hakuna umeme tangu saa 12 jioni
  3. J

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Ukawa ndio mpango mzima
  4. J

    JamiiForums Tanzania Hakuna aliyejitokeza kuchukua fomu za Urais CHADEMA

    Fomu watu wamechukua na mimi ni mmoja ya watu waliomdhamini mtia nia wa nafasi ya urais chadema
  5. J

    JamiiForums Tanzania LAPF waanza kuita watu kwenye interview

    Uhuni huu unaita watu wengi post 4 tena unakuta 2 au 3 zina wenyewe kabisa mimi siendi hiyo interview yao
  6. J

    JamiiForums Tanzania LAPF waanza kuita watu kwenye interview

    Mimi nimepigiwa namba 0262321952 watakuwa ni LAPF kweli
  7. J

    JamiiForums Tanzania Naombaufafanuzi kuhusu Workers' Compensation Fund (WCF)

    Huu ni mfuko ulioanzishwa na serikali kwa nia ya kulipa fidia wafanyakazi wote watakaopata kuumia eneo la kazi, waajiri wote binafisi wanachangia asilimia 1 ya mapato ya mfanyakazi kwa mwaka mzima ila kwa watumishi wa umma wanachangiwa 0.5
  8. J

    JamiiForums Tanzania Walioitwa kazini utumishi

    Wengi huwa wanapewa 65000X7
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kuitwa usaili SIDO

    Samahani mwenye uwezo wa kutuwekea hapa atusaidie wengine umeme umekatika simu yangu haifungui file la pdf
  10. J

    JamiiForums Tanzania TFDA - Food Registration Officer Interview

    Interview ni tarehe 24/01 itafanyika DUCE mimi nimeitwa nafasi ya information and education officer wamepiga simu na sms wametuma
Back
Top Bottom