Samahani TANESCO, Mimi Ni mteja mpya nimefungiwa umeme leo na Mradi ulitekelezwa na REA. Wenzangu wamepewa units 50 kila mmoja lakini Mimi nimepewa units 10 tu! Sababu ni Nini?! Pia naomba kujuzwa nipo kwenye daraja gani la tarrif maana kwa utofauti uliojitokeza Nina wasiwasi.
Namba ya meter ni...
TANESCO naomba kufahamu inachukua mda gani kufungiwa umeme Tangu siku mteja amelipia. Binafsi wiki tatu zimepita toka nimelipia. Naomba kufahamu maximum huchukua mda gani kwa nyumba iliyopo ndani ya mita 20 kutoka kwenye nguzo

Kwa hiyo nyumbani kwa Matiko Ni kambi la majambazi?! Utakuwa una utapiamlo wa ubongo wewe unatutafutia bann za kishenzi Kama ilivyo akili yako. Kwani Ukiwa CCM Ni Lazima ujitoe ufahamu?! Mimi Ni mwanachama hai wa CCM na sioni sababu ya kurudisha kadi Ila tarehe 28 nitawachinja kuanzia ngazi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.