kwani alinyoshewa pombe au alikunywa mwenyewe tena bila aibu anawambia watu aliowazunguka amekunywa bia tena kwa kutumia kinywa chake mwenyewe sasa hapo nani alaumiwe anakunywa bia hovyo anaenda kuzungumza kwanza ajiheshimu na ache mambo ya kijinga anayofanya yeye kama kioo cha jamii anatakiwa...
Pamoja na mafanikio ya kukua kwa uchumi na ongezeko la huduma za kijamii yaliyopatikana katika kipindi hiki, bado ipo changamoto kubwa ya umasikini wa kipato na usio wa kipato. Takwimu zinaonesha kwamba asilimia 28.2 ya Watanzania ni masikini.
Wengi wa wananchi ha​o wanaishi vijijini...
Ilani hii ya CCM ni tamko maalumu kwa wapiga kura kuhusu nia ya CCM ya kuendelea kushika dola na kuwaongoza Watanzania kwa njia ya kidemokrasia, na hasa kuendelea kudumisha amani, umoja wa Kitaifa, usawa, ustawi wa wananchi, Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar...
Maeneo Maalumu ya Uwekezaji:
(i) Mikoa 20 imetenga Maeneo Maalumu ya Uwekezaji ili yawekewe miundombinu ya msingi itakayovutia Sekta Binafsi kujenga viwanda na kufanya biashara katika maeneo hayo; na
(ii) Sheria za Maeneo Maalumu ya Uzalishaji kwa Mauzo Nje (EPZ) na Maeneo Maalumu ya Uchumi...
acha apige ndembe muda ilaa ikifa 26/10/2015 nadhani atakuwa ashapata ajibu la uhakika,,wanao mtumia wa mtumie muda ili ikifa huo muda atulie kabisa na uandishi wake feki wa habari
Katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, serikali imepata mafanikio yafuatayo katika
Sekta ya Ardhi:-
(a) Utawala wa Ardhi:
(i) Jumla ya vijiji 1,619 katika Halmashauri za Wilaya 37 vimepimwa;
(ii) Jumla ya vijiji 5,558 vimepatiwa vyeti vya Ardhi ya Kijiji;
(iii) Jumla vijiji 509 vimeandaliwa...
Usafirishaji na Uchukuzi
Ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya usafiri na usafirishaji umechochea kukua
kwa shughuli za kiuchumi ambazo zimewezesha pia kuongeza ajira nchini. Katika
kipindi cha miaka mitano iliyopita, Serikali imeendelea kuwekeza kwa kiasi kikubwa
katika ujenzi na ukarabati...
Usafiri wa Majini
Kwa kushirikiana na sekta binafsi, kuendelea kuboresha huduma za uchukuzi katika
Bandari za mwambao kwa kufanya yatuatayo:-
(a) Kuanza ujenzi wa gati Na. 13 na 14 katika Bandari ya Dar es Salaam;
(b) Kukamilisha uboreshaji wa gati Na. 1 7 ili kuimarisha utoaji wa huduma...
Katika kipindi cha utekelezaji wa Ilani hii ya 20152020, Chama Cha
Mapinduzi kitaielekeza Serikali kuweka nguvu kubwa katika kukamilisha
utekelezaji wa Sera ya Maendeleo Endelevu ya Viwanda Awamu ya Tatu
(20102020) ambayo malengo yake ni kuiwezesha Sekta ya Viwanda
kuchangia katika kufikia...
Katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, Serikali imeendeleza juhudi katika
kuhakikisha Sekta ya Madini inachangia kikamilifu katika kukuza uchumi na ajira.
Kutokana na juhudi hizo, mchango wa madini katika Pato la Taifa umeongezeka
kutoka asilimia 3.3 mwaka 2010 hadi asilimia 3.5 mwaka 2014...
Kuwawezesha wachimbaji wadogo kujiajiri kupitia sekta hii kwa kufanya
yafuatayo:-
(i) Kuwatambua, kuwarasimisha na kuwapatia maeneo ya uchimbaji
madini;
(ii) Kuwapatia ruzuku, mafunzo, teknolojia na maarifa ya kisasa kwa ajili
ya kuendeleza shughuli za uchimbaji;
(iii) Serikali kupitia STAMICO...
Mwendo wa kampeni hapa nchini unaendelea huku vyama viwili vikipewa upatu wa kushika dola kati ya chama tawala CCM dhidi ya CHADEMA, kwa mambo yanavyo kwenda upepo umebadilika sana na kuonesha dhairi shairi kuwa mgombea wa CCM Dr John Pombe Magufuli kukubalika zaidi na watanzania kila anapopita...
Mgombea waCCM, Magufuli amendelea na zaira za kuomba kura katika mikoa ya Arusha na Kilmanjaro ambapo ameweza kuvunja ngome za CHADEMA alipokuwa Arusha ambapo wanachama marufu wa CHADEMA walirudisha kadi na kujiunga na CCM ambapo wao ndio walio muingiza Lema ubunge mwaka 2010 na kusema...
Mpango wa maendeleo ya elimu ya juu wa mwaka 2010 umeandaliwa na utekelezaji wake umechangia wanafunzi wa kidato cha sita wanaojiunga na vyuo vikuu kuongezeka kutoka wanafunzi 34,564 mwaka 2009/2010 hadi wanafunzi 40,452 mwaka 2014/2015 sawa na asilimia 14.6.
utaraibu wa utoaji na urejeshwaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.