Recent content by JA KIROGO

  1. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wimbi kubwa la wanawake wengi kuwa na watoto bila kuwa na baba wa mtoto

    Tatizo Ni Kiburi Cha Hao Wanawake Na Pia Wanaume Wengi Ni Waongo Sana.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Traffic jam imezidi

    Ebanae Leo Nimekoma Yaani Toka Saa Kumi Mpaka Mda Huu Inaelekea Saa Mbili Hatujavuka Bugr Kutokea Kariako Yaani Sijui Tabt Tutafika Saa Ngapi? Leo Maisha Bora Nimeyashuhudia Mwenyewe.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Warundi 152,572 wawa raia wa Tanzania: kila ikifika uchaguzi ni lazima tuwape wageni uraia?

    Kwa Iyo Watusi Na Wahutu Ni Makabila Rasmi Ndani Ya Tanzania! Km Marekani Vile
  4. J

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi Kujiuliza Kama Ukifa Leo Utafikia Wapi?(motoni/peponi)

    Watu Wanajipa Moyo Tu Hakuna Mwanadamu Anayejua Isipokuwa Mungu Pekee. Hata Dk 5 Zijazo Huwezi Kujua Kitakacho Kutokea Ss Iweje Hujue La Peponi Au Motoni.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha kuunda taasisi ya kichawi kitaifa, itakayotambuliwa na serikali

    Kwanza mrogeni jamaa huyu anaeitwa CCM apo hata Mimi nitaomba uanachama..
  6. J

    JamiiForums Tanzania Fedha za safari za rais zapigwa panga

    Mbona wamechelewa sana, Ila wasiishie tu kwa safari za Rais tu, wapunguze mpaka kwenye safari za mawaziri.
Back
Top Bottom