Recent content by J4MAYOKA

  1. J

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Familia ya Agustino Mahiga

    hawa ndio wanatudhulumu sisi watoto wa maskini tukisema tunaambiwa ohhhh bas nyie kila wakati mwalalama tuuuuu suti dola elf 10 sasa huyu atakuwa kweli hana akaunti uswisi kweli?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Familia ya Agustino Mahiga

    Hivi huyu angekuwa Muislam ingekuwaje? Halafu kwa nini kuna watu hawataki kutuambia Mahusiano yake na waziri Janeth Mbene? Nahisi kama vile wa Ghala wanafanya jitihada za ziada kumsafisha mtu wao lakini hasafishiki. Iweje balozi na maofisa wa balozi zetu nchini Burundi na Comoros na Malaysia...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu: USA inataka niwe rais wa Tanzania 2015

    fARAJA kOTA MUST BE PROUD...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Familia ya Agustino Mahiga

    mimi nilikuwa simjui sasa nishamjua. Hatufai inawezekana vipi balozi wa Tanzania avae suti ya dola elfu 10 na watu wanaona sawa? Hafai huyu. Bora adam Malima
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kodi ya Sim: Mhariri Mkuu wa Daily News (Gabriel Nderumaki) anaishi dunia gani?

    Acting DAMAGING DIRECTOR
  6. J

    JamiiForums Tanzania Rahma Al Kharous kwenye Siasa za Tanzania

    mngesubiri tukaftari kwanza jamani mbona mnafanya visa nyie watu?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Membe be careful, adui yako wa kweli humjui!

  8. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Beware of MONSATO and foreign Agro business conglomerates!

    shughuli kweli kweli
  9. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Beware of MONSATO and foreign Agro business conglomerates!

    serikali imejibu vipi hizi tuhuma?
  10. J

    JamiiForums Tanzania Jengo la ghorofa zaidi ya 12 laanguka jijini Dar

    Waokoaji wakiwa kazini na silaha zao
  11. J

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe: Nina maadui 11, ikifika 2016 watakimbilia Kenya!

    Membe naona anapoteza muda tuu ya nini kuwapeleka Maadui zake Kenya wakati kisiwa cha ukerewe kipo?
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mhe. Rais Kikwete na ziara ya Mabwepande

    Mwanzo ooooh hatumtambui...leo ohhh karibu mheshimiwa utufungulie mradi hawa watu hawajaingia serikalini hawaishi kufanya U Turn, wakiingia je?
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mhe. Rais Kikwete na ziara ya Mabwepande

    tena kwa kuonyoshea kuwa hayuko pamoja na wenzake kaamua kuvaa sare kama alivyovaa bosi.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mhe. Rais Kikwete na ziara ya Mabwepande

    Napenda kuwajulisha kuwa kichwa cha habari original kilikuwa: JJ MNYIKA ANAVYOJICHEKESHA KWA JK Ama kweli CHADEMA mna kazi TENA NZITO.....halafu mnatafuta mchawi wenu ni nani wakati wasaliti mnao kibao chamani kama huyu JJ MNYIKA. Huyu Mnyika na DEDI yao kule CHADEMA walitamka wazi kuwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Membe kuwania urais 2015...

    kila mtu anayo haki ya kugombea urais. Hata mimi nataka nigombee urais wa mtaani kwangu
Back
Top Bottom