Recent content by J33

  1. J33

    Je, kuna usalama kwenye pesa zinazohifadhiwa m koba?

    Vikundi vingi vya kusaidiana kwa sasa vimeamua kutumia M-Koba kama njia ya kuhifadhi pesa au kuchangisha. Ni njia nzuri sana na yenye uwazi kwa wanachama wake. Swala la msingi hapa ni usalama wa fedha hizi. Kumekuwa na shida kukiwa na changamoto za miamala vodacom huwa wanasema wao ni...
  2. J33

    Mke wangu ana ujauzito wa mwezi mmoja tuu lakini nanyooka

    Wakati mke wako ana mimba ndio muda wake wakudeka deka. Mtunze vizuri na unatakiwa kujisikia VIZURI kwa hilo badala ya kulalamika.
  3. J33

    Kwa Experience yangu ya muda mfupi kwenye "Betting" nimegundua mambo machache

    Betting sio mchezo wa kila mtu, it's for gifted Only. Kama huna akili wewe kalime mananasi kiwangwa huko. Mimi nitaendelea kubet na watoto wangu wataenda shule tu bila tatizo.
  4. J33

    Kwa Experience yangu ya muda mfupi kwenye "Betting" nimegundua mambo machache

    Wala hujui mambo ya betting. Ki UHALISIA hizo mechi 13 za jackpot kuna watu wanabet kwa 282000/ kwa double chance wengi TU na WANAKOSA .
  5. J33

    Kwa Experience yangu ya muda mfupi kwenye "Betting" nimegundua mambo machache

    Upo sahihi, Mimi nilishapigwa sana hadi nilipojifunza kwamba betting inatakiwa mtaji mkubwa na nidhamu ili kutoboa . Mimi nacheza hata odd 1.4 ila naweka pesa nyingi kwa mfano unaweza kucheza mechi moja tu odd 1.4 then unaweka 1m ukapata laki tatu baada ya Kodi.
  6. J33

    Kwa Experience yangu ya muda mfupi kwenye "Betting" nimegundua mambo machache

    Hiki ndio cha muhimu kabisa. Watu wengi wanakuwa sana sana sana maana wanataka kutajirika kwa pesa ndogo sana yan MTU anaweka 10000/ ods 300 hapo probability ya kushinda ni ndogo sana sana. Niwakumnushe kwa mfano match ya Yanga na Dodoma Jiji. Yanga alipewa odd 1.41 lakini probability ya...
  7. J33

    Msaada: Baba yangu mzazi ameuza nyumba yake na hataki kunipatia pesa japo kidogo

    Wewe ni mjinga uliyezeeka. Ulitakiwa kuwa sehemu ya madalali wa kuuza nyumba maana hata baba yako asipokupa ungepata walau hata 10m ya udalali
  8. J33

    Tetesi: Irene Uwoya anatoka na GSM

    GHALB ameamuacha kijana Dimpoz?
  9. J33

    Huku Moshi kumejaa sana, mzidi kumiminika

    MMEWAPELEKEA WAZEE WENU HAYA MAFUA MAKALI YA MSIMU MUONE KAMA WATAWEZA KUYAMUDU!? JIANDAENI KUREJEA JANUARY KWA MAZISHI.
  10. J33

    Jamaa anamuoa mchumba wa rafiki yake kama mke wa pili

    ONE PERFECT BUT VERY SENSTIVE SOLUTUON.. UKIACHWA TAFUTA REPLACEMENT CHAP HATA KAMA SIO PERFECT, NDIO NJIA RAHISI YA KUJITIBU TU. KUNA MABINT WENGI SANA WAZURI SANA WAPO DESPERATE MTAANI WATAFUTE HAO NA WAPROMISE MAMBO MAZURI WATAKUPA LOVE UTAMSAHAU HUYO MJINGA MKOJA. MIMI HATA WIFE AKILETA...
  11. J33

    Kwanini Serikali inamkalia kimya Mr Kuku anavyoanzisha utapeli mpya kwa Watanzania?

    Suala la Mr Kuku na utapeli aliyowafanyoa Watanzania unajulikana wazi na imejadiliwa sana hapa JamiiForums. Huyu jamaa alikamatwa na kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi na baadae akakiri na kuipa Serikali bilioni tano ajabu ni kwamba baada ya kutoka mahabusu aliendelea na biashara ile ile na...
  12. J33

    Brevis, Mark X na Crown. Magari haya yana matatizo yeyote kiufundi

    Mimi ndio gari naenda kununua. Tuelimishe hapa mambo ya kuzingatia walau
  13. J33

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Wadau NATAKA KUKIMBILIA BREVIS KAMA GARI YA MISHE ZA KAWAIDA HAPA MJINI NA SAFARI MARA CHACHE MKOANI. KINACHONIFANYA NIAMUE KUNUNUA BREVIS NI BAJET YA AROUND 10M YARD, NGUVU YA GARI SAFARINI NA COMFORTABILITY. USHAURI TAFADHALI HASA WA KIUFUNDI . NB. KUHUSU ULAJ WA MAFUTA SILIHESABII KAMA...
Back
Top Bottom