Recent content by j2chenga

  1. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Hata gari linafanyiwa service

    Duh, jamani, hata tukiamua kujitoa ufahamu kwa 'mahaba' tuwe angalau na aibu. Hiyo "seves" yako imeandikwa wapi humu!
  2. J

    JamiiForums Tanzania Donors agree to release $44 million of aid to Tanzania

    I see these donors becoming part of the problems we are facing other than a solution!
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kinana afunika Karatu, maelfu wajitokeza kumsikiliza, Awaumbua CHADEMA

    Kwa walio makini someni picha. Angalia colour patterns; angalia segment ya njano na kijani halafu hitimisha kama ni nyomi au la.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Vyanzo halali vya Mapato ya Vyama vya Upinzani hususani CHADEMA na CUF viwekwe wazi, mbali na Ruzuku

    So what's a point of bringing this back again if everything is clear and true? Just shut up and hit the road silently.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete, Mungu atakulipa!

    Kwani hapa tunazungumza udini? Kwahiyo awamu zingine wachungaji hawakuwepo? Udhaifu mwingine Ni hatari kabisa kwa afya ya taifa. Walemavu wangapi wa ngozi wameuawa tangu aingie nadarakani?Ni Wachungaji wangapi wamekamatwa Na kupewa malipo Yao ya haki tangu kipindi hicho. Au naye aliingia...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete, Mungu atakulipa!

    Kwa mauaji ya wenye ulemavu wa ngozi amefanya kuliko awamu zote Na sidhani Kama rekodi yake itafikiwa!
  7. J

    JamiiForums Tanzania Bunge lichukue hatua za dharula dhidi ya CCM, hii ni hatari kwa nchi

    Tulia watoto watumike. Nyie wazazi mmetumika hadi kupoteza mvuto, ngoja wawatumie hao wapya. Leo hujasikia majibu ya papo kwa papo ya Waziri Mkuu? Kwamba matumizi ya watoto ni utaratibu wa kawaida wa chama na hawataacha. Tulia baba, si nasikia wamewaachia Tshirt na viatu na kofia? Huoni kama ni...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Watoto kwenye shughuli hizi za Siasa sio Kosa la Kisheria?

    Kwa jinsi ulivyojaza kamasi kwenye hilo fuvu lako unaona ni sahihi watoto wa umri huo kutumikishwa na wazazi wao kupokea ujira? Ajira ya watoto inayopigwa vita kimataifa ni ipi? Na wewe unakitetea chama ili upate ukuu wa wilaya au katibu tarafa? Pathetic thinking.....
  9. J

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Mbatia kuhusu BVR: Kamati ya uongozi ya Bunge yakutana ghafla kujadili

    Akili ya maamuzi kweli imekwisha, lakini kinachonifikirisha mimi ni uchaguzi wa maeneo ya kuanzia. Angalia walikoanzia: Mtwara, Njombe? Hapo tayari kura za uchaguzi mkuu wa Oktoba tayari zimeshapigwa... Subirini sasa tuone.....
  10. J

    JamiiForums Tanzania Wanaokihujumu chama kipya cha ACT- Tanzania ni hawa hapa

    Sasa Kama mna nguvu kilio cha nini? Pambana.... Au kupambana Ni pamoja Na kelele? Endelea kulialia mtaonewa huruma.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Maadhimisho ya miaka 38 ya CCM Songea Mkoani Mkoani Ruvuma

    Mabalozi wa amani kivipi? Unajua maana ya hiyo alama ya jembe na nyundo? Nyundo sasa hivi ndo inafanya kazi yake vizuri - Kuponda vichwa vya wapinzani, Waandishi, magazeti na kuupondaponda uchumi wa nchi na kisha kuchimba kaburi kwa jembe. Na amani unayoisema, sasa hivi na yenyewe...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Maadhimisho ya miaka 38 ya CCM Songea Mkoani Mkoani Ruvuma

    Mkuu Hongera Sana kwa umakini huo. Nilidhani nimesikia vibaya. Na kweli hakukosea Na Kama hakukusudia basi Ni Roho wa Mungu ameutelezesha ulimi wake Ili kilichoko moyoni mwake kitoke.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Maadhimisho ya miaka 38 ya CCM Songea Mkoani Mkoani Ruvuma

    Hii ni hatari Sana. Wao wanadhani wanawatisha wapinzani. Hivi siku ukawa au CUF Na CHADEMA wakifanya hivyo hali itakuwaje? Kwanza hawa watoto wana umri gani. Ccm wanasajili wanachama wa umri gan!? Hao hata darasa la 7 hawajafika na serikali ilikataza siasa mashuleni......
  14. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Maadhimisho ya miaka 38 ya CCM Songea Mkoani Mkoani Ruvuma

    Kamati ya maandalizi au ya maandazi? Miaka 38 uwanja mzunguko wake angalau ungekuwa na lami. Wakati mwingine mnajichora bila kujua. Watoto muwahurumie, mnawatesa bure tu.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Maadhimisho ya miaka 38 ya CCM Songea Mkoani Mkoani Ruvuma

    Hata watoto wote wale Ni ccm? Aisee mko juu. Wanachama wa ccm wanajiunga wakiwa Na umri gani? Mnatisha Na hiyo stock ya minors. Jipeni matumaini kuwa Ni wenu......
Back
Top Bottom