Recent content by J23

  1. J23

    Kwa bajeti ya 1.5M naweza kupata simu na laptop za ubora gani?

    Mkuu Kwa pesa hiyo 1.5m budget tapata hiyo PC Kwa specification umezotaja HAPO na simu yenye 128gb Samsung?
  2. J23

    Kwa bajeti ya 1.5M naweza kupata simu na laptop za ubora gani?

    Kazi zangu nyingi natumia internet kujaza taarifa data kwenye mifumo ya online, nataka computer nyepesi, Iko faster na internet ya Kasi.
  3. J23

    Kwa bajeti ya 1.5M naweza kupata simu na laptop za ubora gani?

    Mkuu sometime unakuta minor features ndo zimeongezeka na mostly unakuta hauzitumii. Ila Kwa haraka ongozeko ni fast charging 67w, camera 200p pamoja na network 5g.
  4. J23

    Kwa bajeti ya 1.5M naweza kupata simu na laptop za ubora gani?

    Nipe location ya duka lao lipo wapi ili kuondoa risk ya kupigwa.
  5. J23

    Kwa bajeti ya 1.5M naweza kupata simu na laptop za ubora gani?

    Sawa mkuu ahsante Kwa ushauri wako.
  6. J23

    Kwa bajeti ya 1.5M naweza kupata simu na laptop za ubora gani?

    Mm natumia Redmi note 12, nimeuza, sasa nipe abc za hiyo Redmi note 13 pro tapata features gani advanced ukilinganisha na hii yangu ya Redmi note 12
  7. J23

    Kwa bajeti ya 1.5M naweza kupata simu na laptop za ubora gani?

    Me nataka PC ambavyo Iko faster kwenye Kila kitu na yenye SSD walau 512.
  8. J23

    Kwa bajeti ya 1.5M naweza kupata simu na laptop za ubora gani?

    Ahsante mkuu, ila Kuna hizi Google pixel Huwa ni mtumba au brand mana naona watu wanazisifia sana.
  9. J23

    Kwa bajeti ya 1.5M naweza kupata simu na laptop za ubora gani?

    Ahsante kiongozi ila Kwa kunisaidia ungeandika na bei yake
  10. J23

    Kwa bajeti ya 1.5M naweza kupata simu na laptop za ubora gani?

    Habari za JP wana JF. Naomba kupewa muongozo wa simu na Laptop aina gani naweza pata Kwa budget ya 1.5 M Kwa vyote viwili. Ahsante na karibu Kwa ushauri.
  11. J23

    Hivi naweza kujenga nyumba kwa mshahara wa laki 5 kwa mwezi?

    Cheki hii ng'ombe ndio mnasababisha kada ya elimu ionekane ya kijinga wakati nyie ndo wajinga. Haya chukua maarifa ya Bure hapa kiazi ww 1. Usikope pesa kubwa Kwa ajili ya kujenga 2. Usikope pesa Kwa ajili ya kuanzisha biashara Kwa kuwa una take home ya 500k *Make saving ya 250k hadi 300k...
  12. J23

    Nishike mkono kwa kunipatia kazi yoyote halali

    Sasa ukweli ni upi bimdashiiiiii ?
Back
Top Bottom