Recent content by J zed

  1. J

    Lazima Lowassa ashitakiwe kwa Ufisadi!!

    Kweli, prof. Mhongo nae yuko kwenye sakata la ufisadi, amefisadi nchi. Wapili awe prof. Mhongo
  2. J

    Pesa ya Field mwaka huu imechelewa sana

    Sua tuendelee tuu kukaa home maana hakieleweki. Ndalichako na board ya mikopo ni vitu viwili tofauti. Mm naona serikali kuu kitengo cha elimu ya juu iangalie hili tatizo hili kwa jicho la tofauti, la sivyo mwaka huu field nothing kwani muda unazidi kuyoyoma.
Back
Top Bottom