Recent content by j p morgan

  1. J

    JamiiForums Tanzania RUSSIA ALERTS IRAN: 4 ISRAELI F-35's Inbound Over Persian Gulf Toward Iran

    Tunaishi kwa unafiki ila sio upendo. Rekebisha iyo sentensi
  2. J

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Na tujikumbushe kidogo ile ni just special operation, sasa uwanze kuhangaika kumiliki anga la nini wakat ni just an operation
  3. J

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Shida ni kwamba habari nyingi anazitoa kwenye blogs ambazo azielewek kwa mfano iyo info kaitoa hapa Russian arms exports in a tailspin Juz tu tumeona Iran has finalized arrangements for the delivery of Russian made Sukhoi SU-35 fighter jets and helicopters. Lakn apo kweny ako kablog izo...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    H Haya ni maneno kwa ajili ya uchaguzi mwakani, remember next year Kuna election marekani
  5. J

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ko kwa maelezo yako toka mwanzo tukiya summarize ni unatuaminisha kwamba Ukraine akipewa submarine, aircraft carrier na f16 atashinda hii vita si ndyo?
  6. J

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Maelezo ni marefu but there is no point, anyway wapeleke izo submarine na aircraft carrier kama azijachomwa moto. Kule sio middle east mzee
  7. J

    JamiiForums Tanzania Hivi Idd Amini alikuwa mbaya kiasi hicho Nyerere alivyotuaminisha?

    Mtu akikuvamia huitaji kujua sabab, apo ni kpigo tu mpak kieleweke
  8. J

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ghorofa ni makaz ya watu, the more unavozid kuyapga na kuyaangusha ndipo ata idadi ya casualties inaongezeka so Russia anajarib kupunguza ndio maana unaona kwa cku chache ambazo Israel ka declare a war tayar there is a lot of casualties, that is my point
  9. J

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Israel anayo authorization ya kupga chochote mbele yake kutoka UN & NATO na ndio maana unaona anaangusha mjengo mzma bila kujali casualties kwa upande Russia situation iko tofaut akifanya vile zile kelele za human rights zitakua nyingi na NATO watapata sabab ya ku attack Russia
  10. J

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na Hamas

    Mbona kama hii conflict ya Hamas vs Israel ni faida sana kwa NATO na US kwa sababu walikuwa wanapigika sana kule Ukraine na media nyingi now zimefocus kwenye hii conflict na kutusahaulisha yale ya Ukraine ya kulalamika kuishiwa ammunitions
  11. J

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    The bad thing ni kwamba Putin he knows what he is doing, the good thing ni kwamba NATO+ Ukraine they don't know what they are doing
  12. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Biashara unayoweza kufanya kwa mtaji wa Tsh. Milioni 20

    Kwa milioni 20 ni ela nzuri zaidi katika biashara ya mazao lakini msimu wa mavuno kwa mikoa mingi umeshapita. Unaweza kutafuta eneo zuri lenye tija na kuanza biashara ya matofali
  13. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mawazo ya biashara kwa mtaji wa Tsh. Milioni 2

    Kama unaweza pata location nzuri unaweza kufungua library ya kuingizia movie
Back
Top Bottom