Recent content by J. Mushuku

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji iPhone 6 au iPhone 6+

    Nahitaji mojawapo ya simu hizo, iwe mpya au used but isiwe na scratches kabisa. Iwe full box. Budget yangu kwa iPhone 6 ni tsh 850,000, iPhone 6+ ni tsh 950,000. Muuzaji tuwasiliane kwa 0683411370, au through pm
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji iPhone 6 full box

    Nahitaji iPhone 6 full box, budget yangu tsh 900,000 iwe kwenye condition nzuri bila scratches. Mawasiliano 0683411370
  3. J

    JamiiForums Tanzania Htc one max inauzwa

    Nauza simu ya htc one max, ni used na iko kwenye hali nzuri sana, bei tsh 570,000. Inakuja na charger, kwa mawasiliano nichek at 0717301520.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Nahitaji iphone 6, budget laki 8 au iphone 6 plus budget laki 9. Anayeuza kwa bei hizo anipm plz
  5. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa watumiaji wa airtel, kifurushi cha bei nafuu

    Unanilipa mimi, ukishanilipa nakutumia code ya kukuunganisha
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kwa watumiaji wa airtel, kifurushi cha bei nafuu

    Kwa wale watumiaji wa airtel, pata kifurushi cha bei nafuu kukidhi mahitaji yako ya internet. Kwa tsh 1000 tu, utapata dk 60 za kupiga airtel kwenda airtel, sms bila kikomo, pamoja na internet 1.2gb ya kutumia kwa masaa 48 (siku mbili). Kama uko interested nichek kwa sms au watsap at 0682411370...
  7. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa watumiaji wa airtel, kifurushi cha bei nafuu

    Kwa wale watumiaji wa airtel, pata kifurushi cha bei nafuu kukidhi mahitaji yako ya internet. Kwa tsh 1000 tu, utapata dk 60 za kupiga airtel kwenda airtel, sms bila kikomo, pamoja na internet 1.2gb ya kutumia kwa masaa 48 (siku mbili). Kama uko interested nichek kwa sms au watsap at 0682411370...
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Premier league watoa taarifa ya mgawanyo wa mapato kwa timu msimu wa 2014/2015

    Hapana mkuu, umehisi vibaya tu. Nimeelezea kuhusu arsenal na man u, kwa sababu kwa namna mgawanyo ulivyokuwa arsenal alitakiwa kuapa zaidi ya man u. Lakini sio maneno yangu mkuu, hii habari nimeitoa kwenye website ya mirror...for reference jaribu kuchek Premier League prize money: QPR earn £2m...
  9. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Premier league watoa taarifa ya mgawanyo wa mapato kwa timu msimu wa 2014/2015

    Bodi ya premier league ya UK imetoa taarifa juu ya mgawanyo wa mapato kwa timu 20 zilishoshiriki ligi hiyo kwa msimu wa 2014/2015. Jumla ya £1.6 bn ziligawanywa kwa timu hizo ambapo Chelsea ndiyo ilipata pesa nyingi zaidi Katika mgawanyo huo Chelsea ndiyo iliyoongoza kwa kupata £98,999,554...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nataka kufanya biashara ya simu, ushauri tafadhali

    Asante kaka
  11. J

    JamiiForums Tanzania Nataka kufanya biashara ya simu, ushauri tafadhali

    Nashukuru mkuu, nitakutafuta
  12. J

    JamiiForums Tanzania Nataka kufanya biashara ya simu, ushauri tafadhali

    Nataka kuziuza hapa dsm. Tatizo ni source ya kuzipata, kuna mdau alinishauri south africa au nairobi, mwingine akaniambia china. Nataka kudeal na original smartphones, japo mtaji ni mdogo, nikianza na simu chache kadhaa itakuwa vizuri.
  13. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada Wakuu

    Nenda kwenye settings halafu cheki sehemu ya software updates
  14. J

    JamiiForums Tanzania Nataka kufanya biashara ya simu, ushauri tafadhali

    Wanajukwaa nimekuwa nikitamani kufanya biashara ya simu used (smartphones). Nina mtaji mdogo milioni mbili, naomba wenye uzoefu na biashara hii wanipe ushauri juu ya upatikanaji wa hizo bidhaa, pia juu ya changamoto mbalimbali za hii biashara. Naomba mawazo yenu
  15. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni udhaifu kutembea na msichana wa kazi

    Housegirls nao ni watu, wanahitaji kushughulikiwa.
Back
Top Bottom