Recent content by Izy_Name

  1. Izy_Name

    JamiiForums Tanzania Science: Zaidi ya asilimia 99 ya vitu vilivyopo ulimwenguni, binadamu hatuvioni wala kuvihisi

    post number 1 na number 2 naona ni chatgpt zinajibizana
  2. Izy_Name

    JamiiForums Tanzania Mungu na jamaa yake Shetani wanazidi kupoteza umaarufu waliojizolea

    sciece haijawahi kusema kuwa mungu hayupo pia haijawahi kusema kuwa mungu yupo
  3. Izy_Name

    JamiiForums Tanzania Mungu na jamaa yake Shetani wanazidi kupoteza umaarufu waliojizolea

    bado hujaelewa basi tuambie kuwa science ilitaja jina la mungu kwa muktadha upi
  4. Izy_Name

    JamiiForums Tanzania Mungu na jamaa yake Shetani wanazidi kupoteza umaarufu waliojizolea

    pia tafuta na usome ' Anatomy ya moyo Shinikizo la damu Sheria za fluid dynamics Evolutionary development ya mfumo wa moyo kwa viumbe na pia kasome Gravity (General Relativity) Planetary formation (accretion disks) Orbital mechanics'
  5. Izy_Name

    JamiiForums Tanzania Huu ni mjadala maalumu kuhusu uwepo wa Mungu na kutokuwepo kwake kwa ushahidi wa vitabu vitakatifu, history na science

    utata ni uwepo wa mungu dini zimeshindwa kutoa ushahidi usio na mashaka huku science kwa kiasi kikubwa ina hoja zenye mashiko
  6. Izy_Name

    JamiiForums Tanzania Mungu na jamaa yake Shetani wanazidi kupoteza umaarufu waliojizolea

    science ime prove sehemu gani hebu tuambie (binafsi naamini mungu yupo)
  7. Izy_Name

    JamiiForums Tanzania Huu ni mjadala maalumu kuhusu uwepo wa Mungu na kutokuwepo kwake kwa ushahidi wa vitabu vitakatifu, history na science

    ulimwengu una vitu vingi sana na hatuwezi ku-discover yote
  8. Izy_Name

    JamiiForums Tanzania Huu ni mjadala maalumu kuhusu uwepo wa Mungu na kutokuwepo kwake kwa ushahidi wa vitabu vitakatifu, history na science

    Ingawa wanasayansi wengi hawajawahi kusema wazi kuwa hakuna Mungu, tafiti na maelezo ya sayansi yanapokuja na majibu yanayotofautiana na maandiko ya dini, mara nyingi huleta tafsiri inayofanana na dhana ya kutokuwepo kwa Mungu au angalau kutohitajika kwa Mungu katika kueleza asili ya ulimwengu...
  9. Izy_Name

    JamiiForums Tanzania Wabongo wampelekea moto Tyrese baada ya kumpost Samia na kumsifia hadi akaifuta post yake

    Huyu Tailis na yeye ni wa huko daslam wakuu?
  10. Izy_Name

    JamiiForums Tanzania BigUP Balozi Dkt. Nchimbi kukubali hoja za Rais wa TLS, Wakili Mwabukusi, kuhusu yaliyopita Oktoba 29 si ndwele, tugange yajayo ya Tume ya Uchunguzi

    Tugange yajayo, kwani yaliyopita wameisha kiri kuyatenda? ili tugange yajayo ni lazima muhusika akiri
  11. Izy_Name

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Awakomba Maelfu ya Vijana Mitaani Na kuwapa Ajira Nono serikalini. Ni Tabasamu na Furaha tu kwa vijana na Wazazi

    awape ajira na vijana wa ICC waachane na makesi
  12. Izy_Name

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Samia Yafungua Anga la Tanzania Kwa Kujenga Viwanja vya Ndege Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar

    vizuri sana sasa amefungua anga mpaka ilipo ICC
  13. Izy_Name

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Thread imevamiwa na watu wa insta tena chawa haswa thread haitamaniki tena
  14. Izy_Name

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Nauza Mfumo wa Kusimamia stock, mauzo, manunuzi na kutunza ripoti zote za kifedha kwa bei nafuu sana

    kulipia program au mpaka mteja awafate officin awape cash mumuwekee program kwenye flashcard
Back
Top Bottom