Recent content by iZulu

  1. I

    JamiiForums Tanzania KWELI Inashauriwa kumtahiri mtoto kati ya siku za mwanzoni hadi wiki ya 8 baada ya kuzaliwa

    Je, kwa kuwa umeweka hoja ya vibamia: Naomba kufahamu kwa nchi yetu ipo katika watu wenye uumie mrefu duniani? Na je Kuna uhusiano wa kuwa na kibamia na kutahiriwa mapema?
  2. I

    JamiiForums Tanzania GE2025 UDSM yailaani UDASA kwa kukosa “Maadili ya Umma” baada ya kulaani uvunjifu wa haki nchini

    Haya ya mwisho tu ndio wamekosea....! Kama kinakanushi wangekaa kimya watanzania wakaamua wenyewe waende kupiga kura au la!
  3. I

    JamiiForums Tanzania Harusi za siku hizi za kipuuzi sana. Eti mtu unakodi hadi Maids waje kunogesha sherehe. Really?

    Yooote hayo ni sherehe ya kuwafurahisha watu pindi ikiisha tu unaanza kulipa madeni peke ako.
  4. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka niachane na huyu Mwanamke bila kuathiri Watoto

    Umejitahidi kuelezea lakin umetuachia maswali sisi kabla ya kukushauri. Msisitizo: Mwanaume unatakiwa ufikirie kwakufanya reasonings na sio feelings.Hivyo ikikupendeza ungeweka maelezo yanayoeleweka. 1. Mmeoana au njoo tuishi kinyumba? 2. Kiasi gani unachomwachia huyo mwanamke cha hiyo kodi ya...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Hoja za Lissu zina mashiko sana, hofu yangu ni Mahakama Kuu kumuachia halafu wakamkamata tena

    Kesi ya Lisu ni kituko kingine kwa serikali katika udhaifu wa mawakili wa serikali katika kuandaa mashtaka nk.
  6. I

    JamiiForums Tanzania Nimejiuzulu rasmi nafasi yangu ya Ujumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Umechukua uamuzi sahihi katika wakati sahihi. Hatua ingependeza zaidi hata kwa media kususia kuandika habari za upande wao ikiwezekana hata kususia mikutano yao wabaki wao na kenge wao.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Usalama wa watembea kwa miguu na wachuuzi wa biashara Mbagala rangi 3; Mamlaka zipo likizo?

    Hali ya usalama wa watembea kwa miguu ni changamoto hasa kutokana na wafanyabiashara ndogondogo kufanya biashara zao katika njia za watembea kwa miguu. Hii imefanya watembea kwa miguu kupita pembezoni mwa barabara. Hali inayopelekea usalama wao kuwa mashakani. Kinachoshangaza zaidi...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Kwenye vituo vya kupigia kura Kuna mawakala wa vyama vya siasa vyote kura zinahesabiwa kwa uwazi Je! Hizo NIDA zinatoka wapi? hojini Kama wasomi basi

    Ulishawahi kuwa mwangalizi wauchaguzi? Mm nimeshuhudia kura za Upinzani alieshinda zikiandikwa upande wa chama dola na kura za chama dola alizoshindwa anapewa mpinzani; mbele ya vyombo vya dola. Kuna mwaka nakumbuka nimekua mwangalizi returning officer akasema kwa kuwa muda ni usiku matokeo...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Polepole asipuuzwe;vyovyote iwavyo

    Licha ya kwamba sikubaliani na Comrade na mtandao wake walivyofanya uhuni kipindi cha utawala ule...ambapo mambo kadhaa yalijitokeza ikiwepo uporaji wa chaguzi, mauaji na upotezwaji wa raia wapinga serikali na chama dola nk! Pamoja na makosa waliyoyafanya utawala ule; kitu pekee kilichonivutia...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere: Godbless Lema ametoweka na password za akaunti ya fedha ya tonetone

    Tulikubaliana hakuna kuhama chama!😂😂 Sasa jamaa amehama afu anaanza kuongea ushubwada
  11. I

    JamiiForums Tanzania Mikoa ambayo dini zimeharibu zaidi akili za watu

    Dar ibaki kua namba moja kama watu wanajaza gesi kwa mdomo afu waumini wanashangilia.....
  12. I

    JamiiForums Tanzania Mikoa ambayo dini zimeharibu zaidi akili za watu

    Umemsahau yule Mtume Zumaridi alieenda Mbinguni akaekewa CD ya vichekesho: ukienda huko Kanda ya Ziwa ( Shinyanga, Geita na Mwanza hauwaambii kitu🤣
  13. I

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA wasiruhusiwe kuhudhuria msiba wa Ndugai

    Ninawashauri CHADEMA kama wakialikwa kuhudhuria msibani watumie nafasi hiyo kusema ukweli kuhusu marehemu alivyoitendea CHADEMA akiwa madarakani; na kupitia msiba huo kama CHADEMA wanamseheme ila wanawaambia viongozi wengine kifo ni fumbo hivyo watende mema kwa wanaowasimamia katika shughuli za...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Walioenguliwa uchaguzi wa ndani kuhamia upinzani na kuteuliwa kuwa wagombea ni kukua kwa demokrasia au udhaifu wa upinzani kukosa wagombea wenye sif?

    Tayar yameshafanyika katika chaguzi zilizopita na hata uchaguzi huu yatatokea tu!
Back
Top Bottom