Recent content by izobak

  1. izobak

    Askofu Stephen Munga: Je, Musiba amekuwa Mfalme wa Wafalme, Bwana wa Mabwana?

    Kwa nini mtumishi wa Mungu anaandika maneno mengi namna hii wakati hana uhakika na kitu anachokisema kama alivyoanza kuandika?. Pia anatanguliza tahadhali ya kuuwawa kwa kumgusa huyu mtu, ukiangalia kwa undani ni kama vile anazo taarifa za watu waliouawa kwa kumgusa huyu mtu au kwa maneno...
  2. izobak

    Waziri Kangi Lugola: Mashoga wako salama Tanzania

    Wakati mwingine huwa nawashangaa watu kutopenda ama kwa bahati mbaya ama kwa makusudi kutomuwlewa mtu, sasa waziri kusema mashoga wapo salama amesema wapi wanaruhusiwa kufanya biashara zao, kuwa salama haina maana wakionekana hadharani wataachwa bali sheria ipo pale pale itafuata mkondo wake...
  3. izobak

    Mzigo wa Korosho kutoka Tanzania wakutwa na mawe nchini Vietnam

    Tatizo linaanzia kwa wanunuzi wanaokimbilia kununua bila kiangalia ubora, wa kile wanachonunua, kisa wameambiwa korosho ni dhahabu, ndiyo wamekutana na dhahabu ya kweli. Wajipange maana hapa bongo uaminifu ni zero. Ila waliofanya hivi wasiachwe hivi hivi maana huo mzigo utajulikana ulitoka chama...
  4. izobak

    Serikali yaanza mazungumzo na wawakilishi wa kampuni ya Tanzanite One

    Lazima watanzania tuwe na moyo kama wa simba,kujiamini muda wote na kuwa tayari kushinda vita. Kuwapa moyo walioko vitani ni jambo la kiungwana.
  5. izobak

    Gazeti la Mawio lafungiwa kwa miezi 24 kwa kosa la kuwahusisha Mkapa na Kikwete sakata la madini

    Haina maana kuwa wewe unauchukia sana ufisadi,siku nyingine chagua maneno ya kuongea, usiwe kama nyani.
  6. izobak

    Gazeti la Mawio lafungiwa kwa miezi 24 kwa kosa la kuwahusisha Mkapa na Kikwete sakata la madini

    Lama una nakala za kabla sijazaliwa basi wewe ni mstaafu,ndiyo maana unaomuda wa kusoma magazeti,wapambanaji hawana muda huo.
  7. izobak

    Gazeti la Mawio lafungiwa kwa miezi 24 kwa kosa la kuwahusisha Mkapa na Kikwete sakata la madini

    Tanzania ni takataka? wewe mwenzetu raia wa nchi gani maana hili ni tusi kwetu wazalendo, kama wewe ni mtanzania pia tafadhali tangulia dampo tutakukuta.
  8. izobak

    Gazeti la Mawio lafungiwa kwa miezi 24 kwa kosa la kuwahusisha Mkapa na Kikwete sakata la madini

    Hivi kweli wewe magazeti unanunua au unachungulia vichwa vya habari kwenye mbao za wauza.Hilo gazeti halina faida kwa taifa
  9. izobak

    Gazeti la Mawio lafungiwa kwa miezi 24 kwa kosa la kuwahusisha Mkapa na Kikwete sakata la madini

    Ndugu kwa hasira ulizonazo lazima utakuwa na cheti feki ama sivyo ulikuwa hewa si bure
  10. izobak

    Benki ya Maendeleo ya Afrika(AFDB) yaikopesha Tanzania Bilioni 360 kwa ajili ya Bajeti ya 2016/17

    T Tutajie hayo matatizo mkuu,si vibaya tukajua na utakuwa umelisaidia taifa na damu ya nchi hii haitakuwa mikononi mwako.
  11. izobak

    Rais Magufuli Afanya Uteuzi Wa Wenyeviti 7 wa Bodi na Mwenyekiti wa Baraza la Uwezeshaji Wananchi

    Elewa kidogo tu, uwenyekiti wa bodi si kazi ya muda wote(full time job) hivyo wataendelea kufundisha. Nakushauri pia ukasome kwa kukusudia maana hapo Udsm ni maji marefu, waulize waliopitia hapo nani hubaki kufundisha mara baada ya kuhitimu.
  12. izobak

    Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

    Taarifa zinazotakiwa siyo hizi za kusoma wewe ume coment nini. wanataka kujua kwa mfano huyu mtu anajiita akili tatu ni nani ili wamshughulikie.
  13. izobak

    KIGOMA: Zaidi ya abiria 50 wanusurika kifo baada ya basi kutumbukia katika mto Malagarasi

    Hiyo kwa kizungu wanaita near miss, maanake ni kwamba gari iliyotumbukia ilibeba abiria hamsini katika safari yake,nusura tu kwakuwa walishuka gari lilipoingia kwenye kivuko kwasababu tu ya utaratibu wa kivuko,vinginevyo wangelikuwamo wakati gari linatumbukia mtoni,hiyo inaitwa manusura sawa...
  14. izobak

    Rais Magufuli amualika Rais wa Zambia kwa ziara ya siku 3

    Mhh, longo longo sasa zimezidi, yaani bakharesa ashushe mizigo beira kwa ajili ya biashara ya Tanzania? si kweli kule amejenga viwanda kule. Je unajua hali ya barabara toka beira hadi mpakani mwa Tanzania zikoje?,je gharama yake ni ndogo kuliko hiyo kodi iliyoko bandari ya Dar?. Labda kama hii...
  15. izobak

    KIGOMA: Zaidi ya abiria 50 wanusurika kifo baada ya basi kutumbukia katika mto Malagarasi

    Aksante kwa elimu nzuri ya Jiografia maana vijana hawa wa kizazi kipya hawajui Jiografia ya nchi hii, wanakimbilia kukomenti kwa kulalamika tu, sasa hilo sio kosa letu ni lakwao kwa kutopenda kuijua nchi yao, mtu unaambiwa gari imetokea mwambao wa ziwa Tanganyika wewe unakimbilia daraja la...
Back
Top Bottom