Dah umenikumbusha mbali sana
Mie nilimaliza chuo bana nikapata kaz kweny hosp fulan pale mwanza, nikaanza kaz kama mwezi mmoja hv nikaanza kulazimishwa kutoa majib ya uongo (yan kama mtu hana malaria nalazimishwa niandike ana malaria ) kusud wauze dawa nikagoma nikawaambia professional haitak...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.