Nilivyo muelewa dr shika.
Baada ya kupata matatizo aliuomba ubalozi wa marekani nchini Urusi umsaidie kuzipata pesa zake na akaomba wazitawanye ktka nchi na mabenk tofauti.
Kuna baadhi ya nchi iliwekwa
$600m ilio sambazwa ktka mabenki tofauti
but! bank ambayo iliwekwa pesa nyingi zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.