Recent content by Iwensanto

  1. Iwensanto

    Malawi imeibuka tena sakata la mpaka Ziwa Nyasa

    kwa jiografia ilivyo sisi tunakuwa katika nafasi nzuri kwa kuwa tuko juu Malawi ipo bondeni
  2. Iwensanto

    Simba wanasajili bila kocha mkuu, kufeli kunaanzia hapo

    Achana nao hao mambumbu hawajielewi ngoja ligi ianze halafu waanze kulala timu zikishinda kwamba zinahonga
  3. Iwensanto

    Naombeni ushauri wa haraka kuhusu huyu binti

    sasa hapa kila mtu atakufa kunahusiana vipi
  4. Iwensanto

    PreGE2025 Nini kitatokea ikiwa chama kimojawapo cha Upinzani kitakuwa na fedha za kampeni sawa na walizonazo CCM?

    Vyama pinzani vimezidi maana pesa inapatikana huliwa kilaina maana hata wahasibu havina
  5. Iwensanto

    PreGE2025 Nini kitatokea ikiwa chama kimojawapo cha Upinzani kitakuwa na fedha za kampeni sawa na walizonazo CCM?

    Hakuna chama kutakacho fikia ccm kwa sababu hawa wengine ni wachumia tumbo
  6. Iwensanto

    Samia Suluhu Hassan, Amiri Jeshi Mkuu pekee tangu uhuru aliyetoa amri mabasi yatembee usiku kucha, na hakuna anayethubutu kuyateka

    utakuwa ni kijana gen z mabasi yalikuwa yakitoka saa 2 usiku miaka yote kabla ya shetani wa ujambazi kushika hatamu miaka ya 2000
  7. Iwensanto

    PreGE2025 Peter Msigwa hayuko huru, anapangiwa nini cha kusema na Amos Makala. Ushahidi wa video huu hapa

    Matokeo ya Chaga Development manifesto mwenye maamuzi ya chama ni Mbowe na mkewe ubaguzi hautawaacha Chadema salama
  8. Iwensanto

    Nimewachukia Generation Z kwasababu hawatumii akili

    Unamkosea kumwita majina yasiyo faa Ruto amesimamisha kusaini hiyo na yuko tayari kuzungumza nao hakuna binadamu asiyekosea hakuna jambo ambalo huisha kwa vurugu bila ya kukaa katika meza ya majadiliano kuendelea kaharibu miundo hiyo siyo sulhu ya kuondoa tatizo
  9. Iwensanto

    Nimewachukia Generation Z kwasababu hawatumii akili

    kwa hiyo ulitaka achome maduka?
  10. Iwensanto

    Unaionaje Gen Z ya Tanzania?

    Ajute nini wakati jambo liko wazi
  11. Iwensanto

    Unaionaje Gen Z ya Tanzania?

    Sema shujaa mchinjaji
  12. Iwensanto

    Wana Yanga SC Wenzangu hapa JamiiForums hawa Wachezaji hawatufai hivyo tuuombe Uongozi uachane nao upesi kwani ni Wabovu sana

    Atakuwa amekula nganda huyo wala hajitambui nguruwe aka kiti moto sports club
  13. Iwensanto

    Kaka yangu kamtia mimba mama yetu mdogo. Hili lipoje kwa Wanyakyusa?

    Katika watu ambao hawaruhusiwi kuwaoa ni kina mama wadogo, Shangazi, watoto kaka au wadogo zako maana hiyo ni laana.
Back
Top Bottom