Recent content by ivanmark714

  1. ivanmark714

    JamiiForums Tanzania Unataka kuingia kwenye biashara za pikipiki pita hapa ujifunze kitu

    Kaka unachukulia mzigo kwa nani tafadhali
  2. ivanmark714

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari nzuri

    hayo ndo magali anaweza kwa kupata kwa bei yani bajeti safi kabisa tena watamkimbilia brevis mil 5 chap tu yani
  3. ivanmark714

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madaktari mnaolipua kushona wanawake wanaojifungua kwa operesheni mnachangia ndoa nyingi kuharibika

    hata mie mishono inanikata kinyama
  4. ivanmark714

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huwa nawahurumia sana wanaume wenye tabia za kunyonyana ndimi na wanawake

    akafanye mapenzi na mbuzi ndo hana hayo mambo😁
  5. ivanmark714

    JamiiForums Tanzania Kilichomharibia Rais Samia ni namna alivyoanza baada ya kifo cha Magufuli. Anaweza kurekebisha, anayo nafasi

    lakini kazi ilionekana mama ako ana nini cha kujivunia
  6. ivanmark714

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mtaji wa million 10 nifanye biashara ipi vifaa vya pikipiki au duka electonics?

    asante mkuu ila ni changamoto sana nitatoa mrejesho
  7. ivanmark714

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nenda salama Diana niachie moyo wangu

    we ndio fala sababu hujui chochote kwenye mapenzi au kupenda
  8. ivanmark714

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mtaji wa million 10 nifanye biashara ipi vifaa vya pikipiki au duka electonics?

    sijaomba ushauri nje wa hizo biashara mbili nilizotaja kwaiyo upo nje mada asante
  9. ivanmark714

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mtaji wa million 10 nifanye biashara ipi vifaa vya pikipiki au duka electonics?

    nawasubili nipate uwamuzi sahihi huku nikijiongeza na zangu
  10. ivanmark714

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mtaji wa million 10 nifanye biashara ipi vifaa vya pikipiki au duka electonics?

    Habari? Niende moja kwa moja kwenye point... Nimejichanga nimepata mtaji wa kiasi cha millioni 10 nataka nifanye biashara moja kati ya hizi ambazo ni duka la vifaa ya pikipiki au duka la electronics hapa ni vile home applience yani TV ,FRIDGE, REDIO, FAN nk... Kwa upande wa location nipo...
  11. ivanmark714

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kikwete: Sitamzuia Mke wangu kufanya kazi ya Siasa

    basi upo sahihi kwa mtazamo wako na kwa upande wako ikiwa kama ni lazima iwe kwenye biblia....!! maana nilitaka kujibu kutokana na imani yao alipopata hayo mamlaka ulioyaita ya umungu
  12. ivanmark714

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kikwete: Sitamzuia Mke wangu kufanya kazi ya Siasa

    lazima iwe biblia tu?
  13. ivanmark714

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kikwete: Sitamzuia Mke wangu kufanya kazi ya Siasa

    huyo mungu ametoa hayo mamlaka ya kuzuia tukitaka kwa wake zetu 🫵
  14. ivanmark714

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kikwete: Sitamzuia Mke wangu kufanya kazi ya Siasa

    tumepewa utashi maadili na akili mila na desturi mamlaka pia sisi sio ng'ombe kijakazi😎
Back
Top Bottom