Recent content by ivanka06s

  1. I

    JamiiForums Tanzania Ukishaweka fingerprint kwenye madai ya NSSF ni muda gani itachukua kupata mafao?

    Ndani ya week moja Nawapongeza nssf kinondoni WAnapiga kazi sana na kwa weled uliotukuka kila jambo kwa hatua na kwa muda sahihi Hongeren sana Branch zingine igeni kinondoni nssf
  2. I

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kuwapata watoto baada ya kuhitilafiana na baba yao

    We songa mbele, kilakitu kitajulikana mbele jijenge kiuchumi atajileta kwa namna moja au nyinginge muhimu watoto wazima huko basi
  3. I

    JamiiForums Tanzania StarTV yakatisha matangazo ya BBC Swahili baada ya mtangazaji kusoma kichwa cha habari

    Nakula zangu supu ya mchicha BBC INAAZA Sijui NANI ANAANZA KUZUNGUMZA ANAHOJIWA SIJUI NDIO NANI MARA SHWAAAAAA NIKATOKA ZANGU NJE KUTAFUTA KONYAGI NILALE ZANGU NAANGALIA TENA NAONA IMERUDI NA HABARI YA TALEBAN AFGANISTAN SIJUI TETEMEKO
  4. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kukulana mchana vs kukulana usiku

    🤣🤣🤣🤣🤣 We jamaa genious japo haipotezi logic ya jamaa maana bado logic itabaki pale pale,,,,, usiku japo umewasha taa na mchana utabaki mchana japo upo kwenye chumba chenye giza
  5. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eti wanawake; ni kwanini mwanaume akishinda nyumbani vitu huwa vinaisha ndani?

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Anauliza michepuko yako ishakuruga kumbe wakati huo siku iyo kazini kupo vururu vururu Mimi nikiwa home najifunikaga tu shuka ataomba wewee jibu la mwisho ntamwambia pika unachokiona kwa wakati huo regardless NYie wanawake mnamakelele sana
  6. I

    JamiiForums Tanzania Sijalala kwa dk 1 NDANI ya siku mbili, nasikia sauti zinanisema na ukifika usiku zinaimba kwa sauti haulali na hautolala milele

    Pole sana mkuu MImi nikiamuaga kunywa nakunywa haswa hata mwwzi mzima nafuruliza Na nikistop usingizi kupata ni issue ila baada ya siku kadhaa narudi normal nalala vizuri,, Hapo kwako kuna tatizo zaidi ya nguvu za kiroho hasa hapo uliposema unarudi home kutoka kwenye tiba asili ukapigwa na...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Kuna milio kama risasi inasikika Mbezi beach

    Duh
  8. I

    JamiiForums Tanzania Naelekea mkoa wa geita kwaajili ya kilimo

    Vipi mkuu nipe maoni yako
  9. I

    JamiiForums Tanzania Naelekea mkoa wa geita kwaajili ya kilimo

    Mkuu unanitisha,,, nimeplani niwe kama digidigi naonekana kwa machale tu
  10. I

    JamiiForums Tanzania Naelekea mkoa wa geita kwaajili ya kilimo

    Mkuu mziki wa dhahabu siuwezi,,,,vikorombwezo vyake vya kuzunguka viringeni hapana
  11. I

    JamiiForums Tanzania Naelekea mkoa wa geita kwaajili ya kilimo

    Chikobe vijijini
  12. I

    JamiiForums Tanzania Naelekea mkoa wa geita kwaajili ya kilimo

    Mkuu mbona unanitisha
  13. I

    JamiiForums Tanzania Naelekea mkoa wa geita kwaajili ya kilimo

    Zipo kule mkuu, kilakitu, wazawa ni wakulima kwaio zipo
  14. I

    JamiiForums Tanzania Naelekea mkoa wa geita kwaajili ya kilimo

    Habari wakuu Kama kicha cha habari kinavojieleza,,,nimeplani mwezi wa kumi msimu wa kilimo kwa kanda ya ziwa, kwenda mkoa wa GEITA, hasa geita vijijini, kijiji cha BUTUNDWE Lengo ni kwa ajiri ya kupambana na uchumi kwenye nyanja ya Kilimo cha maharage na mahindi Nime plan kukaa kwa miezi...
Back
Top Bottom