Recent content by IvanAve

  1. IvanAve

    JamiiForums Tanzania Nimepata tatizo la kifua kubana na kichwa kuuma

    Nakushauri utumie hizo dawa au nenda hospital kubwa upate consultation ya Physician
  2. IvanAve

    JamiiForums Tanzania Tatizo la makohozi yasiyotoka kooni

    Hii ni Esophageal Reflux Cough mostly inatokea watu wenye GERD Tumia Baclofen 5-10mg twice daily au Gabapentin 300mg twice daily kwa 2-4 weeks unakua poa.
  3. IvanAve

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

    Hii inaonekana kama Lichen Planus Hope ushapata msaada.
  4. IvanAve

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

    Baada ya shower apply Scaboma lotion mwili wote then baada ya 8-12 hours una wash off. Unapply mara moja tu na unaweza kurudia baada ya one week. Kama ikishindikana tafuta Ivermectin 12mg mara moja unaweza kurudia baada ya 2 weeks
  5. IvanAve

    JamiiForums Tanzania Nimekutwa na UTI, Typhoid na Malaria

    Yes that's great advice. Kama zote tatu ni positive then treatment zipo for every single one.
  6. IvanAve

    JamiiForums Tanzania Nimekutwa na UTI, Typhoid na Malaria

    I know about provisional diagnosis and all that but haiwezekani everyday Tanzanians wana those three diseases. That's why kila siku patients wana big issues wakija hospital wanataka kucheck those three things because they are conditioned to do so.
  7. IvanAve

    JamiiForums Tanzania Nimekutwa na UTI, Typhoid na Malaria

    That's a good question because UTI 60 makes no sense at all
  8. IvanAve

    JamiiForums Tanzania Nimekutwa na UTI, Typhoid na Malaria

    No sidhani hao wana vitu tofauti kabisa. Madaktari wa Tanzania sometimes wana disappoint kwenye treatment.
  9. IvanAve

    JamiiForums Tanzania Nimekutwa na UTI, Typhoid na Malaria

    Yeah it's possible(although from years za treating sijawahi kuona) but from my practice Typhoid,UTI and Malaria ni vitu very rare sana Tanzanians wanaumwa vitu tofauti kabisa na everyday wanaambiwa hivyo vitu vitatu
  10. IvanAve

    JamiiForums Tanzania Msaada, matibabu ya Anal fissure

    Kama una Anal Fissure Tumia Lactulose syrup 10mls mara mbili kwa siku ili kusoften stool Topical Nitroglycerin 0.4% apply mara mbili Sitz baths(Dettol 20mls kwenye maji ya uvuguvugu kila baada ya kutoka toilet). Unaweza kutafuta Lidocaine ointment Kwa ajili ya maumivu
  11. IvanAve

    JamiiForums Tanzania Nimekutwa na UTI, Typhoid na Malaria

    Yeah haiwezekani kila mtu Tanzania anaugua Malaria, Typhoid and UTI. Ni incompetence tu hiyo because in practice haipo hivyo.
  12. IvanAve

    JamiiForums Tanzania Msaada: Viganja kuwaka moto

    Possibly ni Raynaud's disease, unaweza kutumia Nifedipine 20m once daily Topical Nitroglycerin 1% apply once daily
  13. IvanAve

    JamiiForums Tanzania Msaada: Viganja kuwaka moto

    Questions Ngozi ya viganja inababuka au inakua nyeupe kabisa? Unafanya kazi na any chemicals? Unatumia cigarettes? Probably unaweza kua na Palmoplantar Psoarisis or pustulosis Raynaud's disease You can use Clobetsaol ointment apply twice in vaseline or Salicylic acid ointment apply twice...
  14. IvanAve

    JamiiForums Tanzania Napatwa na kizunguzungu naona chumba kinazunguka kwa kasi pindi ninavyolala au kuamka kwa haraka

    That sounds like Meniere disease Unaweza kutumia Diazepam 5mg au Meclizine 50mg kwa vertigo/kizunguzungu Then Use Betahistidine(Betaserc) 8mg twice daily but hii inatakiwa kutumia kwa muda mrefu kuona mabadiriko atleast 8weeks +Low salt diet + Bendrofulazide 5mg daily Last resort ni Injection...
Back
Top Bottom