Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

Habari zenu wana JF, samahani sana kwa usumbufu kama vile tujuavyo misemo ya wahenga kuwa mficha uchi hazai.

Since mwezi wa nne nasumbuliwa na hili tatizo nimetumia dawa nyingi sana ant fungus kama zote za tube mpaka za kopo ila bado tatizo linanisumbua...
Hii inaonekana kama Lichen Planus
Hope ushapata msaada.
 
Hii yako isije ikawa Ni reaction ya kitu ulichokula yaani kitu ambacho una allergy nacho.
Hebu kumbuka Kama umekula samaki wa maji baridi Jana au juzi, au umeshika paka au umekunywa energy drink au Kama umekwenda porini ukagusa majani fulani.
Au Kama hivi karibuni ulitembea peku peku na slayqueen mgeni kwako. Maana Kama sio allergy au VD Basi huyu mama wa nyumba ya tatu muangalie sana. Hapendi maendeleo yako.
Haahah hapana mkuu, kumbe ni scabies, asanten sana
 
Haahah hapana mkuu, kumbe ni scabies, asanten sana
Kama Ni scabies jihesabu umepona.
Dawa yake Ni machungwa. Kwa Sasa hivi Dar machungwa yanaanzia shilingi hamsini Hadi Mia.
Yaani hela ya bia moja unapata machungwa zaidi ya kumi.
Au Bei ya konyagi moja ya kawaida unajaza tenga.
Don't even touch the chemicals. Machungwa tu.
 
Machungwa mangapi kwa siku na kwa muda gani?
 
Kama Ni scabies jihesabu umepona.
Dawa yake Ni machungwa. Kwa Sasa hivi Dar machungwa yanaanzia shilingi hamsini Hadi Mia.
Yaani hela ya bia moja unapata machungwa zaidi ya kumi.
Au Bei ya konyagi moja ya kawaida unajaza tenga.
Don't even touch the chemicals. Machungwa tu.
Mkuu kingereza kimekupiga chenga jaribu kutofautisha scabies na scurvy utakuja kuua watu humu
 
Mkuu kingereza kimekupiga chenga jaribu kutofautisha scabies na scurvy utakuja kuua watu humu
Machungwa hata ule Mia kwa siku huwezi kuumia.
Kumbuka hakuna daktari anayekataza watu kula matunda au mboga. Hata diabetics hawakatazwi.
 
Ebu tumia akili na busara zako apa watu Wana matatizo yanayohitaji dawa kweli. Unaweza kumwambia mgonjwa wa pressure aache dawa ale tu machungwa. Kua mtu mzima apo kwenye scruvy na scabies umechamba. Usiwachanganye watu apa Acha wafate tiba sahihi wapone
Machungwa hata ule Mia kwa siku huwezi kuumia.
Kumbuka hakuna daktari anayekataza watu kula matunda au mboga. Hata diabetics hawakatazwi.
 
Mkuu umepata suluhu ya tatizo lako? Mana na mimi nimepata tatizo kama lako sema mim na mwili unawasha sana, tena sehemu ya uume ndiyo inawasha zaidi, yaani najikuna hatari. Nimetumia dawa ya aleji (NEOLOR), Erythrokant pamoja na Cream ya Elocom. Lakin bado nawashwa sana. Jamani mwenye ujuzi naomben msaada wenu
Nliwahi kupata ili tatizo, Tumia BBE solution, unapaka usiku baada ya kuoga, After one week unapona
 
jaman baada ya kuteseka zaid ya miaka 2 kwa kupitia huu uzi nilijaribu kila dawa niliyoaambiwa hatimaye leo nimepata suluhisho la huu ugonjwa nimetumia scaboma na vidonge vya cyclovir mpaka leo ndo vinaishia vinaanza kupotea vipo hatua ya mwisho uume sasa hivi upo soft.nashukuru kwa wote ambao mlichangia kwenye huu uzi na wale ambao niliwa dm asante kwa ushirikiano
 
Back
Top Bottom