Nimepata tatizo la kifua kubana na kichwa kuuma

Luvako1991

Member
Jul 27, 2021
14
45
Naombeni ushauri ninatatzo la kifua kubana, iko hivo kifua kilinibana ghafla tangu mwaka Jana, nashindwa kupumua vizr , na kichwa kinaniumwa muda mwingine nakua nayaona mapigo ya moyo unadunda nikiwa nimetulia.

Jaman nimefanya vipimo kwenye hospital kubwa kama vile bugando na mhimbili lakin tatzo halionekan tatzo lenyewe ni hivi nikiamuka asubuhi nakuwa najihisi kabisa nipo vizuri ila kadiri ya muda unayoenda nahisi kuchoka na kifua kubana zaidi nimefanya vipimo kama vile ECHO, ECG , CHOLESTROL , INHALATION OF LUNG CAPACITY , DAM , OGD , X RAYS LAKIN TAtzo halijaoneka daah yaan hi hali inanichanganya kweli
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
35,203
2,000
Mwarubaini ni chanjo ya ndimu,malimao na tangawizi.Chanjo hii imejaribiwa kwa muda mrefu na ni salama.
 
Executivesister

JF-Expert Member
Aug 7, 2012
494
1,000
Embu fanya pia water therapy, kunywa maji kama dawa. Maji ya uvugu vugu, lita moja saa kumi na moja alfajiri, moja saa tano asbuhi moja saa tisa mchana na maliza moja saa 12 jioni ni dawa nzuri kwa wanaosumbuliwa na vifua, hakikisha ni warm sio ya baridi.
 
DAN LOKOMOTIVE

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
1,190
2,000
Naombeni ushauri ninatatzo la kifua kubana, iko hivo kifua kilinibana ghafla tangu mwaka Jana, nashindwa kupumua vizr , na kichwa kinaniumwa muda mwingine nakua nayaona mapigo ya moyo unadunda nikiwa nimetulia.

Jaman nimefanya vipimo kwenye hospital kubwa kama vile bugando na mhimbili lakin tatzo halionekan tatzo lenyewe ni hivi nikiamuka asubuhi nakuwa najihisi kabisa nipo vizuri ila kadiri ya muda unayoenda nahisi kuchoka na kifua kubana zaidi nimefanya vipimo kama vile ECHO, ECG , CHOLESTROL , INHALATION OF LUNG CAPACITY , DAM , OGD , X RAYS LAKIN TAtzo halijaoneka daah yaan hi hali inanichanganya kweli
hizo ni dalili za pressure umepima pressure
?
 
punguza uzito piga tiz,,,yaani hiyo ni pressure
 
IvanAve

Member
Dec 14, 2019
44
95
Naombeni ushauri ninatatzo la kifua kubana, iko hivo kifua kilinibana ghafla tangu mwaka Jana, nashindwa kupumua vizr , na kichwa kinaniumwa muda mwingine nakua nayaona mapigo ya moyo unadunda nikiwa nimetulia.

Jaman nimefanya vipimo kwenye hospital kubwa kama vile bugando na mhimbili lakin tatzo halionekan tatzo lenyewe ni hivi nikiamuka asubuhi nakuwa najihisi kabisa nipo vizuri ila kadiri ya muda unayoenda nahisi kuchoka na kifua kubana zaidi nimefanya vipimo kama vile ECHO, ECG , CHOLESTROL , INHALATION OF LUNG CAPACITY , DAM , OGD , X RAYS LAKIN TAtzo halijaoneka daah yaan hi hali inanichanganya kweli
Question
Maumivu ya kifua ni upande wa kushoto?
Maumivu ya kichwa yana ambatana na nausea/dizziness/poor vision?
Anyways have
Prinzmental Variant Angina
Migraine

Tumia
Amlodipine 2.5mg or Nifedipine 20mg
Isosorbide dinitrate 10mg

For migraine tumia
Ergotamine or Sumtriptan
Sodium valproate
 
Luvako1991

Member
Jul 27, 2021
14
45
Question
Maumivu ya kifua ni upande wa kushoto?
Maumivu ya kichwa yana ambatana na nausea/dizziness/poor vision?
Anyways have
Prinzmental Variant Angina
Migraine

Tumia
Amlodipine 2.5mg or Nifedipine 20mg
Isosorbide dinitrate 10mg

For migraine tumia
Ergotamine or Sumtriptan
Sodium valproate
Kifua kinabana tu na kichwa kinauma sehem za katikati kuhusu dizziness , poor vision na nausea cjapata hayo matatizo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom