Recent content by IVAN37

  1. I

    Anaetaka kubebwa UDSM

    Mi nauza room kwa atakaehitaji aniPM iko hall ni kwa wasichana tu!
  2. I

    Room inauzwa Main Campus UDSM

    Wale wa udsm room inauzwa hall 1 iko ground floor.,..kwa jinsia (ke) tu! Kama uko tayari ni PM
  3. I

    Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

    Sodoka kama unajua nsaidie,mtu anaweza pata asilimia 0,ambayo ni ya fee!lakn boom anapata hapo mtu atajuaje?
  4. I

    Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

    Yan imenijibu ivyo ivyo....hapa nilipo sijielewe msaada kwa mwenye kuelewa jamani
  5. I

    Udsm

    habari...!!mimi nmechaguliwa hapo though sijui kama ntapangwa mabibo au main campus ila sibebi bali ntauza room popote ntakapopata! Kama uko tayari ni PM
  6. I

    Nahisi hiki ndicho kitanikwamisha kwenda chuo hata nikipata mkopo...!!

    na hiyo milion ni baadhi ya course...Law ni ml 1.5
  7. I

    Waliochaguliwa UDSM undergraduate

    Hongereni tuliochaguliwa udsm wanajukwaa wenzangu. Sijajua ntapangwa mabibo au main campus ila natangaza kuuza room mapemaaa!kwa wadada tu jaman! ...Ni PM twende sawa!
  8. I

    Hodi jamvini...

    Asante nmeshakaribia
  9. I

    Hodi jamvini...

    Hellow...Great thinkers!!
Back
Top Bottom