Hapo kuna mawili labda anahisi ww unamsaliti sasa ameamua kureact au kama mtu nje anamdanganya danganya
Ushauri wangu kaanae chini umuulize tatizo pili mshirikishe Mungu kwa funga Mungu atakupa jibu pia zingatia matatizo ndani ya ndoa uamuliwa na wana ndoa wenyewe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.