Recent content by itulahumba

  1. I

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Yaliyojiri kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    Tatizo liko wapi kwani ikishinda kwa asilimia 100%? Demokrasia imetumika kumchagua ni haki na sahihi kushinda.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

    Siyo kiwavi jeshi (army warm) hapana huyo ni mdudu mwingine tofauti,hiyo profecron au agrocron zimeshindwa.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

    Angalia hiyo dawa kwa mama mahenge au Lucy mbembati,ukikosa tuwasiliane kwa namba 0759812022
  4. I

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

    Mara moja tu,ikijirudia tena unapuliza,but am sure ni mara moja tu kwisha habari yake,shamba lipo maeneo gani iringa.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

    Puliza hiyo dawa inaitwa dudu acelmectin au dudu mectin( 20mls dawa na maji lita 15) inadhitibiti vizur sana.
  6. I

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

    Pole kiongozi tafuta kiuatilifu/dawa inaitwa Dudu mecitin.inapatikana kwenye maduka ya kilimo.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Dkt. Willibrod Peter Slaa kuwa Balozi

    Kwa pamoja tuijenge nchi yetunya Tanzania,hongera rais wetu.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Ukabila wa Lowassa hauvumiliki kabisa

    Sioni ukabila kwa hapo,baraza hili limegusa kila kona ya nchi,naamini mawaziri wote wanawatumikia Watanzania bila kujali maeneo wanayotoka.
Back
Top Bottom