Recent content by itula

  1. I

    JamiiForums Tanzania Jina herode

    Mfalme herode...kwa nini wazazi wengi hawalitumii jina hili kuwaita watoto wao kama ilivyo majina mengine yaliyo katika biblia takatifu mfano mathayo, yuda, yohana , luka , samweli, yoshua, mussa, daudi, isaya , yusuph n.k Sent using Jamii Forums mobile app
  2. I

    JamiiForums Tanzania Guest/Lodge Mwanza

    Mwanza ooo mwanza mwanza mji mzuri sasa jiji
  3. I

    JamiiForums Tanzania Niko njia panda; Je; Watoto niwaandikishe English medium au niwapeleke Kayumba wakapambane?

    Primary ni primary na msingi ni msingi
  4. I

    JamiiForums Tanzania Niko njia panda; Je; Watoto niwaandikishe English medium au niwapeleke Kayumba wakapambane?

    Wapeleke primary school japo na shule za msingi sasa zinafanya vizuri
  5. I

    JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo wachungaji matajiri zaidi Tanzania

    Mbona hayo makanisa mengi kwa dar yapo wilaya ya kinondoni/ ubungo??
  6. I

    JamiiForums Tanzania Nina mbolea ya kinyesi cha popo

    Ninazo kilo 60 za kinyesi cha popo sasa maelekezo ya matumizi yake kama mbolea shamba la mahindi yamekua mengi mno tofautitofauti mwenye uelewa sahh anisaidie
  7. I

    JamiiForums Tanzania Wachina

    Dini nayo ni kiwanda mkuu
  8. I

    JamiiForums Tanzania Wachina

    Wachina hapa tanzania wameenea kila mkoa na kila wilaya!!! Waanze kuwekeza katika madhehebu ya dini ( ukiristo/ uisilam)
  9. I

    JamiiForums Tanzania Mtandao hatari wa kutapeli watu fedha

    Shambani shambani mazao bora shambaniii
  10. I

    JamiiForums Tanzania Uhuni wa shule binafsi

    Primary school vs shule ya msingi
  11. I

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu mvua tabu

    Tuombe mungu atujalie
  12. I

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu mvua tabu

    Kifupi huku kwetu mvua zimekua ni adimu tumepamda mahidi sasa yapata mwezi mmoja umeisha yapo chini ya aridhi hayajaota.. Nijuzeni huko mulipo hali ipo vipi?
  13. I

    JamiiForums Tanzania Mabilionea wenye Private Jets Tanzania

    Private jet kitu gani wenue fisi watasemaje??
  14. I

    JamiiForums Tanzania Njoo tufanye kazi pamoja

    Wazo zuri
Back
Top Bottom