Recent content by ITR

  1. ITR

    JamiiForums Tanzania Mimi Muislam, najiuliza, Waislam tuwaunge mkono Saudi Arabia ama Houthis?

    Ww kama muislam uchague upande gani kwani aliye kwambia wanapigana Kwa ajili ya dini ni nani? Hao wanacho pigania ni madaraka ,Mali na masilahi na hawapogani Kwa masilahi ya kidini. Kwa hiyo suala la uchague upande upi lipo katika itikadi za kisiasa na sio kidini.
  2. ITR

    JamiiForums Tanzania Baba wa marehemu Shukran Amos Said akataa mwili kuzikwa mpaka mahari ya TSh 1,500,000 ilipwe

    Kama hauwezi kutamkwa kivip?
  3. ITR

    JamiiForums Tanzania Baba wa marehemu Shukran Amos Said akataa mwili kuzikwa mpaka mahari ya TSh 1,500,000 ilipwe

    Cha kwanza Kwa mujibu wa uislamu mahali ni ya Mali ya mwanamke muolewaji na na si Mali ya mzazi wake ,na anatakiwa apewe yeye na ndio maana hata kiasi cha mahali linatakiwa kutamkwa na mwanamke.
  4. ITR

    JamiiForums Tanzania Baba wa marehemu Shukran Amos Said akataa mwili kuzikwa mpaka mahari ya TSh 1,500,000 ilipwe

    Sio kweli Kwa mujibu wa uislamu ambayo ndo dini ya huyo mwanaume mahari ni kitu cha lazima na ni deni ni lazima ilipwe yote.
  5. ITR

    JamiiForums Tanzania Baba wa marehemu Shukran Amos Said akataa mwili kuzikwa mpaka mahari ya TSh 1,500,000 ilipwe

    Naona watu walio jitia uzungu uchwara wanajifanya kumpinga na kumkejeli Mzee eti sijui umasikini. Kwa Mila na desturi za kiafirika na kidini iwe ukristo au uislamu mwanaume hana mamlaka wala haki yeyote Kwa mwanamke,au Kwa watoto alio wazaa Kwa mwanamke ambaye hajamtolea mahali. Mzee Yuko sawa...
  6. ITR

    JamiiForums Tanzania Tajiri ninathibisha, CCM haina nia ya dhati ya kuwaletea wananchi wa Tanzania maendeleo. Msikiti wa bilioni 21 unaojengwa na Makonda hauna tija.

    Kama hizo pesa kinatoka Kwa watu binafisi na sio fedha za uma hiyo haina shida.
  7. ITR

    JamiiForums Tanzania Kuoa wake wengi ni kuwadhalilisha wanawake

    Kwani hao wanawake huwa wanalazimishwa?
  8. ITR

    JamiiForums Tanzania Kuoa wake wengi ni kuwadhalilisha wanawake

    Ww ni mpumbavu kwani hao wanawake huwa wanashikiwa bunduki na kulazimisha kuolewa?
  9. ITR

    JamiiForums Tanzania Jamani hebu tujadiliane, Mama Samia alianza vizuri sana katika utawala wake-what happenned?

    Sio kweli Kwa sababu anayo yafanya huyu mama Kikwete hakuwahi kuyafanya miaka 10 yote ya uraisi wake.
  10. ITR

    JamiiForums Tanzania Nani yupo nyuma na Kuvuja kwa inayodaiwa kuwa “Connection” ya Mwigulu Nchemba? Tutajuaje si feki?

    Swali kama ni ya kweli kwanini hatukuziona Kwa hizo wiki mbili zilizo pita tangu zisambazwe kama Hirda anavyo dai,ila zije kuonekana Leo kwamba mitandao ya kijamii ilikuwa imeificha ikimsubiri Hirda apost ndo zisambae?
  11. ITR

    JamiiForums Tanzania Nani yupo nyuma na Kuvuja kwa inayodaiwa kuwa “Connection” ya Mwigulu Nchemba? Tutajuaje si feki?

    Kama huyo mbunge kashikiliwa Kwa wiki 2 Kwa sababu ya kusambaza hizo video kwanini hatukuziona kipindi chote hicho mpaka Leo ambapo hiyo habari ilipo tangazwa na Hirida Newton? Nina asilimia 80 ya kuamini hiyo ni AI.
  12. ITR

    JamiiForums Tanzania Kwa asilimia kubwa Watanzania wana roho za kichawi

    Magufuri pia alikuta deni la taifa likiwa trion43 tu lakini mpaka anaondoka lilikuwa trillion 71 hivyo ukiangalia huyu mama na magufuri hawana tofauti sana kwenye suala la kukopa. Kuhusu suala la sera za kiuchumi wa dunia ya Sasa huyu mama ana sera nzuri mara mia ya Magufuri ila huyu mama...
  13. ITR

    JamiiForums Tanzania Usisafiri na familia yako yote kwenye usafiri mmoja, ni hatari sana

    Kifo huwa ni hatima ya Kila binadamu hivyo huwa hakikimbiwi na anaye panga tarehe Yako ya kufa ni mungu sio ww.
  14. ITR

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

    Kusafiri wa helicopter huwa Sina Imani nao
  15. ITR

    JamiiForums Tanzania Kabila la banyankole shangazi hulala na mchumba wa binti yao kabla ya ndoa ili kupima uwezo

    Hicho kitu hakina ukweli hata kidogo sisi wanyambo tunao ishi wilaya ya Karagwe na Kyerwa Kwa namna Fulani tumeshea Lugha,na baadhi ya tamaduni na kabila la banyankole la nchini Uganda na tumeingiliana sana hakuna kitu kama hicho.
Back
Top Bottom