Recent content by itongo

  1. I

    JamiiForums Tanzania Watu wa dini, batizeni watoto wenu majina yenu ya kiafrika, achaneni na majina ya wazungu na waarabu

    Huu ujumbe murua wa kumalia mwaka Sent using Jamii Forums mobile app
  2. I

    JamiiForums Tanzania Vijana jifunzeni Kijerumani Kazi nyingi

    Kuna app inaitwa Duolingo pakua mkuu
  3. I

    JamiiForums Tanzania Nilipigiwa simu na polisi na kuambiwa simu nayoitumia ni ya wizi, hivyo wanaomba ushirikiano

    Huyo fala sana hajui technolojia inavyobaini mwizi
  4. I

    JamiiForums Tanzania Nilipigiwa simu na polisi na kuambiwa simu nayoitumia ni ya wizi, hivyo wanaomba ushirikiano

    Una bahati haikuhusika na mauaji ungezeekea mahabusu
  5. I

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kuomba na kupata Visa tukutane hapa tupeane uzoefu

    Nafkiri visa ngumu zaidi Ni ya Australia maana hata wazungu wanakimbilia huko
  6. I

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kuomba na kupata Visa tukutane hapa tupeane uzoefu

    Dogo fala sana
  7. I

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kuomba na kupata Visa tukutane hapa tupeane uzoefu

    Mwache akapauke kazoea kuchekacheka na salimia kila unayekutana naye kama hajanuka mdomo week nzima
  8. I

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kuomba na kupata Visa tukutane hapa tupeane uzoefu

    Hawajui vyema wazungu
  9. I

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kuomba na kupata Visa tukutane hapa tupeane uzoefu

    Kwa sasa ngumu kubadili jina maana passport ya nyuma walichukua biometrics (alama za macho na vidole) kwahiyo system itamtema na ndipo utakapopigwa pingu fasta. Haya ya kubadili jina ilkuwa enzi zileee.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kuomba na kupata Visa tukutane hapa tupeane uzoefu

    Je akiulizwa alishawahi omba visa hapo atajibuje
  11. I

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kuomba na kupata Visa tukutane hapa tupeane uzoefu

    Ukiiomba kwamba unaitaka kama souvenir wanakupa
  12. I

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo tour yangu katika nchi za Netherlands na Sweden ilivyokuwa

    Mkuu ukimaliza ulaya anza Africa na Botswana na zingine zilizopiga hatua utajifunza mengi maana ulaya watasema Ni weupe
  13. I

    JamiiForums Tanzania Serikali kuanza kusambaza dawa ya kuzuia Virusi Vya Ukimwi (HIV) aina ya Truvada

    Ulaya hawako vulnerable na hiv kama africa
  14. I

    JamiiForums Tanzania Sam Mahela wa ITV na kipindi cha upande mmoja

    Kwakusema ukweli sikumbuki lini niliangalia tv naona habari ZA humu jamvini zinafikirisha
  15. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo nimeamini kuwa kutembea na mtu mwenye UKIMWI si kupata UKIMWI

    Kaka nikweli hapo ndo wana science hawajatoa maelezo kwanini huambukizwi ila wana maelezo ya kutisha raia kwamba hiyo kitu weka mbali na watoto Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom