Recent content by itikija

  1. itikija

    JamiiForums Tanzania Ule utapeli wa kijuha umeanza tena...

    Hivi makampuni ya simu hayatambui hizi mamba kweli?!!
  2. itikija

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa Tigo - Tawi la Mlimani City akamatwa kwa utapeli wa mtandaoni

    Hats zile message za tuma krk mamba hii in zinatoka krk haya makampuni
  3. itikija

    JamiiForums Tanzania Tuelimishane: Ukimkuta mtu kafa katupwa pembezoni mwa njia Ukampost; Je: kuna madhara yoyote?

    Nadhani unaamaanisha kuna athari gani kisheriais,kuingilia faragha za marehemu no kosa labda kama utaweza kudhibitisha nia njema ya kufanya hivyo,pili we kupiga na kusambaza picha ya marehemu hakuzuii wajibu wako kuisaidia polis juu ya uhusika wako na picha uliyotuma.mi mtizamo tu c mtaalam
  4. itikija

    JamiiForums Tanzania Wana usalama, mikono salama na mahali salama

    Mshana,umepiga msumari kwenye kichwa cha wanausalama,lakini kwa upole na hofu, we jamaa una akili nyingi....hongera kwa kuwekeza kwenye "Hekima"
Back
Top Bottom