TTCL mtandao unoongaza Tanzania
Big up Mhe Kindamba natambua uwepo wako maana kwa muda mfupi tu umeweza kusambaza mtandao wa 4g,maeneo mengi nchini
hao wanaoongea ongea ni wa kuasamehe tu naona wanasahau kuwa TTCL ni serikali kwa 100% na manunuzi ya serikali yana
taratibu zake tofauti na hao...
Hahaaa
Hizi mambo bana,kuna mmoja alituma picha zake mwenyewe kwa group la busara kama usemavyo.
Afu akatia" niangalie jinsi nilivyo"
Baada ya dk 2 tukaona "left" usiombe yakukute aisee..
Hao binadamu walisubiri maafa yatokee ndipo wapate cha kusema...nao wameshiriki kuua indirect
Japo kuna watu in mabaunsa usipime, nimelinganisha na hapa mtaani kwetu kuna mama hasogelewi na binadamu awaye yeyote huenda ndo wale wale
Na kwa sababu kwa muda mrefu hujafanya hivyo anza kwa speed ndogo,, mfano unaweza kununua mikate hata miwili unapita kwa mmoja wapo afu ukifika unasema nilikuwa napita njia nikaona niwapitie niwasalimie then hukai sana unaondoka zako, na kwa mwingine tena siku nyingine na nyingine baadae...
Jitahidi ,,, angalau kwa watu wachache wa karibu yako,,,,, "wa nyumbani",,,,mi nimeshaanza ila sijilazimishi nafanya for leisure ,,usiilazimishe nafsi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.